rakeyescarl
JF-Expert Member
- Dec 9, 2007
- 481
- 145
Wakuu,
Heshima mbele!
Naomba mwenye kujua naweza kumpata wapi
Trainer wa computer basics ili hawa vijana wasiachwe mbali.
Wako shule-kindergaten za Kanumba design lkn lugha si haba.
Computer wanayo ila games na kids software haina,
Naomba msaada. Niko tayari kujibu maswali ya ziada.
Nitumie PM au rakeyescarl@yahoo.ie
Mbarakiwe!