50/50 Ni kwa ajili ya kumnufaisha mwanaume ila mwanaume ndio hajitambui

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,289
Wakuu kutokana na majukumu kuwa mengi na kukimbizana na mikate yetu ya kila siku hivyo sita ongea mengi kutokana na muda.

Huu mpango wa 50/50 upo kwa ajiri ya mumnufaisha mwanaume ila wanaume tulio wengi ndio hatujui kinacho endelea kutokana na walio uleta kiwekeza nguvu nyingi kwenye kumpaka mwanamke mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa huu mfumo utampa nafuu katika maisha.

Hivyo juhudi ndogo zimetumika kwenye kumueleza mwanaume atafaidikaje nao

Hivyo basi umemuacha mwanaume bado yupo enzi za analojia wakati tupo digitali...ila kuna wanaume wachache watundu wamejua jinsi gani ya kwenda nao ili wanufaike nao ila wengi wao wameishia kuishi maisha ya zamani wakitegemea huu mfumo bado ni rafiki kwao kwa kua na akili za zamani.

Kifupi huu mfumo wa 50/50 unamtaka mwanaume kuwa hivi

1: kutokua na kimbelembele na kuanzisha miradi ya familia. Mfano kwenye ujenzi wa nyumba hakikisha ushiriki wa mkeo upo 50/50 kama nyumba inathamani ya milioni 100 basi kila mtu awe amechangia milioni 50 hii itakufanya hata siku hakimu anapo gonga nyundo kuwa hii nyumba mgawane 50/50 unapata sura ya tabasamu huku ukifikiria ni jinsi gani utakula bata na yule mtoto wa chuo mwenye tako na shape mjini na sio kulia na kulalamika lalamika umeonewa. So punguza kihelehele hakuna tuzo ya kumfurahisha huyo mwanamke ila utalia pekeyako wakati watu wakiendelea kuisasambua mbususu ya mkeo kwa jasho lako.

2: Unakutaka uwe jasiri na mwepesi wa kukubaliana matokeo yoyote ...mfano kupokea taarifa kama mkeo anataka talaka yaani usisite na kutaka kujifanya wewe ndio fundi ndoa kumbe unahofea mali zako ....yaani mkeo akiomba tu talaka ..unamuuliza unataka ngapi ....? Akikujibu mbili mwambie mimi nakupa 3 nahisi zitakutosha ..yaani kivyo tu....ila ukijifanya wewe ndio kidume mwenye mapenzi ya kweli ndugu yangu mfumo unakukutaa na utakutema vibaya sana na utashangaa.

3:

4:

5:

Hizo pointi zitakuja hapo chini.
 
Kwenye doggy style inakuwaje sheikh?

IMG_8074.jpg

Mkuu nasubili jibu
 
Huo ni upumbavu wenu wenyewe ninyi Ke, Mungu mwenyewe hakuona faida ya 50/50 ndiyomaana alimpatia mamlaka Me kuwa kichwa cha familia.

Mnapata wapi ujasiri wa kupingana na asili yenu ninyi Ke kama si ushetani huo?

Mi familia yangu ni mfumo dume mbele kwa mbele wala sihitaji msaada wowote wa Ke kiuchumi zaidi ya ushauri wake tu.

Hata hivyo pesa ya Ke yeyote imefungiwa sabufa maana nilishawahi kuwa na Ke zaidi ya 8 katika uchumba na wote walikuwa wanaigiza tu mapenzi kimsaada lakini kiuhalisia walikuwa wanasapoti uchumi kishingo upande mno, yani kwa mbinde.
 
Shida hii 50 kwa 50 ina lengo la kuua taasisi ya ndoa ili kudhoofisha jamii zetu.

50 kwa 50 imewafanya wanandoa kuwa washindani (competitors) badala ya washirika (partners).

Unapokuwa na familia dhaifu nyingi ni vigumu sana kuwa na jamii imara na functioning.
 
Si mpaka wakubali hao wanaopiga hiyo kampeni ndo wanataka kuhudumiwa mpaka nguo za ndani.
 
Shida hii 50 kwa 50 ina lengo la kuua taasisi ya ndoa ili kudhoofisha jamii zetu.

50 kwa 50 imewafanya wanandoa kuwa washindani (competitors) badala ya washirika (partners).

Unapokuwa na familia dhaifu nyingi ni vigumu sana kuwa na jamii imara na functioning.
Swala ni kwenda na mfumo sawa ili ufurahi
 
Tatizo wanawake wanakuja kwenye ndoa mikono mitupu sijui hiyo 50 percent ataitolea wapi!
 
Back
Top Bottom