Gaijin
JF-Expert Member
- Aug 21, 2007
- 11,812
- 5,289
Thansk Mwalimu... langu haswa lilikua swali la kama kutahiri wanaume pia ni ukatili au ni wanawake tu
Nafikiri inategemea na namna zoezi zima linavyoendeshwa.
Hospitali wanakuwekea ganzi kwa hiyo husikii maumivu wakati ule at least.
Hizi zinazofanywa na ngariba kavu kavu ni ukatili wa aina yake ( nionavyo) na pia kuna suala la usalama wa zana zinazotumika na mambo mengine ya infection.
Serikali walau ingechukua jukumu la kutoa mafunzo ya kiafya kwa wahusika (Kama hawafanyi hivyo sasa)