Ok,ni kitu kizuri kabisa hicho;sasa kwa wale ambao wako nje ya USA inakuwaje?Nafikiri hili tangazo linawahusu zaidi na kujulisha wale walio ndani ya USA!
maua ya Brazil yatakuwepo?Mambo yanaendelea kuwa bomba yaani hapa nimesha order Ng'ombe wawili kutoka Bongo kwa ajili ya BBQ.
maua ya Brazil yatakuwepo?
yah man....kuleni maisha vijana....hizo shoriz mkuu mbona mtu unatoa mpaka rent....ila totozi za kibongo zipunguze vitambi...na akina njerii wanawatoas sana madomo zege kama nyani ngabu.....no say NO kwa njeriiMazee siku hiyo ushindwe wewe tu yaani totoz kuanzia wacheza Samba Brazil, mpaka ukija Kwa Madiba kusini mwa Africa, ukienda kwa Spanish Badonkadonks aka Puerto Ricans, Ukija pembeni unakuta totoz za Kwa Mzee Kibaki, Ukienda zaidi unakutana na totoz kutoka Kwa Kagame kabla haujakaa sawa unakutana na totoz za Kinugu na Nyeupe, Ukikaa chini unasalimiwa na totoz za Kibongo, yaani ni full kujiachia.
Mazee siku hiyo ushindwe wewe tu yaani totoz kuanzia wacheza Samba Brazil, mpaka ukija Kwa Madiba kusini mwa Africa, ukienda kwa Spanish Badonkadonks aka Puerto Ricans, Ukija pembeni unakuta totoz za Kwa Mzee Kibaki, Ukienda zaidi unakutana na totoz kutoka Kwa Kagame kabla haujakaa sawa unakutana na totoz za Kinugu na Nyeupe, Ukikaa chini unasalimiwa na totoz za Kibongo, yaani ni full kujiachia.
Mkuu GQ,
niandalie sehemu ya nguvu maana I will definitely be there coz
ni weekendi ya b'day yangu. Ngoja niwasiliane na mkulu Chinga
tuangalie maswala ya usafiri.
..awamu hii lazima tupate talaka tu..hehehehe!
One.
Mkuu GQ huyo dada kwenye tanngazo atakuwepo? Am just curios
...have fun guys! kama kuna uwezekano Bongo radio inaweza kurusha live wengine tukala kwa macho tu
hahahahah Mazee unakujaga Chi-Town kimya kimya unamjua hadi Nyambura wa ShiNyaNya huyo huwa hakosi yaani mambo itakuwa bab kubwaaa.
Mazee Ab-Titchaz,
Usiwe na wasiwasi kabisa nakuandalia sehemu bomba yaani VIP kabisa wala usiwe na wasi wasi, yaani utafurahia birthday yako to the fullest. Nimeshaongea na Chinga na nitamtumia details za hotel leo baadae. Karibuni sana wote kutoka D-town yaani raha kamili.