Death Anniversary: Rest in Peace Michael Jackson

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,902
1,644
Today is annivesary of last moment of MJ. He passed away in his apartment in US. The World still feel him. RIP MJ (Michael Jackson).

=================

Michael Jackson death anniversary: Top 10 Dance Moves of the King of Pop

michael-jackson-dance.jpg
Singer-songwriter Michael Jackson died on June 25, 2009, due to an overdose of the drug proposal that was administered by his personal physician, Dr Conrad Murray. Michael was known as the King of Pop, and from humble beginnings went on to be the biggest superstar of music ever.

His songs, first with the Jackson 5 and then as a solo artiste, were chart-busters and broke all record sales. At his concerts, his crazy fans screamed and some even collapsed on seeing him.

Michael Jackson was born on August 29, 1958. He began singing as a child. He first became popular while performing with the Jackson 5, a band comprising his family members.

Not just his songs, but Michael Jackson's signature dance moves were so popular, they added to his enigma and his fan following grew across nations, religions and races. Because of his dancing, Michael was not just known as the King of Pop, but also the King of Music Videos.

On the occasion of Michael Jackson's sixth death anniversary, take a look at his Top 10 dance moves on stage from his greatest hits. These dance steps – his moonwalk, his pelvic thrusts, his turns – will surely leave you enthralled!

Watch video here;

Source: India.com

========

Pengine Dunia ya muziki inaweza isiwe na bahati kama iliyokuwa nayo siku ya tarehe 29 mwezi wa 8 mwaka 1958, pale ambapo Bibi katherine Jackson alipojifungua mtoto wake wa 5 na kumpa jina la "Michael" . Alizaliwa katika jimbo lillopo kaskazini mwa Marekani, Jimbo la 38 kwa ukubwa na la 19 kwa idadi ya watu miongoni mwa majimbo 50 ya marekani, jimbo hilo linaitwa Indiana.

Wazazi wa Michael hawakuwahi kufikiria kuwa mtoto wao wa 5 hataishia kuwa mwimbaji ya Bendi ya "The Jackson 5" tuu, bali atakuja kuzivunjilia mbali rekodi za wakongwe kama Elvis Presley na Pia bendi kubwa na Bora kama "The beatles". Lilikuwa ni suala la la muda tu kabla mtoto Michael hajaanza safari ya kuwa mwanamuziki mwenye mafanikio zaidi katika maisha yake ya Muziki kushindi Mwanamuzikii yeyote yule hapa Duniani (kwa mujibu wa Guiness Book of Records)

Miaka sita imepita tangia Mwanamuziki maarufu zaidi ulimwengu huu kuaga dunia, ni mengi yametokea katika maisha ya burudani tangia marehemu Michael alipofariki , kubwa ni soko la muziki wa dunia kuzidi kushikiliwa na vipaji vya watu weusi shukrani kwa mapinduzi ya muziki yaliyofanywa miaka ya 80 na 90..

Pengine wengi hawaufahamu mchango wa Michael jackson kwa watu weusi hasahasa kimuziki, kupitia kumbukumbu hii labda tukumbuke kwa wale waliosahau... kabla ya Michael jackson hakukuwahi kuwa na mwanamuziki yeyote yule mweusi ambaye video yake ilikuwa inaonyeshwa na vituo vikubwa kama Mtv...!!

Ni Michael Jackson aliyekuja kubadilisha kila kitu na kuharibu mfumo mzima wa kibaguzi , kupitia video yake ya Billie Jean akawa mwanamuziki wa kwanza mweusi nyimbo yake kuonyeshwa MTV..!! leo hii hadi wasanii wa Tanzania wanapata Fursa ya nyimbo zao kuonyeshwa Mtv na vituo vingine vikubwa, shukrani kwa Michael Joseph Jackson, kwani kupitia Juhudi zake na kipaji chake alichopewa na Mungu hadi Dunia ya Tatu tumefaidika ..

Ni Michael Jackson huyuhuyu ambaye kupitia video yake ya Thriller aliweza kuvunja rekodi mbalimbali ikiwemo video iliyopendwa zaidi na kuchezwa mara nyingi zaidi, Michael jackson aliwahi kuomba kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa jarida moja kubwa la burudani nchini Marekani (kutangaza album yake ya mwaka 1979 'off the wall'), kutokana na ubaguzi walimjibu kuwa Mtu mweusi hauzi ! hivyo asingeweza kutokea kwenye jarida maana angesababisha hasira.

Kauli hiyo ilimuudhi sana Michael, kwa hasira akaapa ipo siku wao watakuja kumuomba atokee kwenye kurasa za mbele za Magazeti yao, Kauli hii Ilitimia baada ya kutoka kwa album yake iliyofuata "Thriller" (album iliyouza zaidi katika historia ya Muziki), hao waliomkataa walikuja kumuomba na weusi wake atokee kwenye majarida yao, na kuwa mtu mweusi wa kwanza mwanamuziki kugombaniwa kwa dau kubwa na Majarida makubwa zaidi Marekani na ulaya.

Alizivunja Rekodi zote zilizokuwa zimeshikiliwa kwa muda mrefu na Wanamuziki weupe (natumia sana neno weusi na weupe kutokana ubaguzi uliokuwepo kwenye soko la muziki enzi hizo), ikiwemo ile maarufu sana ya kuchukua tuzo nane za grammy ndani ya usiku mmoja (1984), yeye pamoja na lionel richie waliandika wimbo maarufu kwaajili ya kusaidia bara la afrika (we are the world), Pia kupitia taasisi mbalimbali Michael mpaka kufikia kifo chake ameshatoa zaidi ya Dola Milioni 300 kama msaada..

Kuna mengi ya kusema kuhusu Michael ila labda tumalizie na suala la kubadilika Rangi ambalo limekuwa likiwasumbua watu wengi, Mwaka 1993 katika mahojiano na mwanamama Oprah winfrey , Michael alisema sababu ya kubadilika kwake rangi ilikuwa ni Ugonjwa unaoitwa Vitiligo alichokuwa anafanya yeye ni make up tuu ili asiharibike , hata hivyo watu wengi waliamua kujitengenezea majibu yao na wengine walichagua kutomuamini, hitimisho la ukweli kuhusu mabadiliko ya rangi yake yalikuja baada ya ripoti ya kifo chake kuthibitisha kuwa Michael jackson alikuwa ni Mgonjwa wa Vitiligo..

REST IN PEACE KING OF POP
 
Last edited by a moderator:
Namaanisha leo ni siku ya kumbukumbu ya kifo cha michael jackson kwa kifup mj 25 june r.i.p may allah rest his soul in peace
 
I'll never ever forget about Michael Jackson I will love him til the day I die!!!!
 
Kuna ile video yake inayo onyesha jinsi alivyokuwa amezidiwa hadi umauti ukamkuta,daaah! Hii dunia hii. Achane tu.
 
Attachments

  • mi.jpg
    mi.jpg
    6.6 KB · Views: 310
  • Michael-Jackson-001.jpg
    Michael-Jackson-001.jpg
    14.6 KB · Views: 321
  • michael-jackson-bad-16x9.jpg
    michael-jackson-bad-16x9.jpg
    39.5 KB · Views: 316
  • Moonwalker-Michael-michael-jackson-18374197-600-450.jpg
    Moonwalker-Michael-michael-jackson-18374197-600-450.jpg
    23.6 KB · Views: 395

Similar Discussions

Back
Top Bottom