2nd Annual Summer Breeze BBQ In Chicago

Geeque

JF-Expert Member
Aug 17, 2007
936
316
Wote Mnakaribishwa kwenye BBQ ya Nguvu itakayofanyika Montrose Harbor Beach Ndani ya Chicago siku ya Tarehe 8/8/2009. Hafla Hiyo Itafuatiwa na Dance Party ambapo DJ Dennis na DJ Nasser watawarusha watu usiku mzima.
flyer 2 medium.jpg
 
Ok,ni kitu kizuri kabisa hicho;sasa kwa wale ambao wako nje ya USA inakuwaje?Nafikiri hili tangazo linawahusu zaidi na kujulisha wale walio ndani ya USA!
 
Kila mtu anakaribishwa hata kama uko nje ya USA, cha kufanya ni kuchukua fomu za kuomba Visa na waambie unakuja kwenye Summer Breeze BBQ halafu mambo yanakuwa bila ya matatizo yaani unagongewa Visa haraka sana. Karibuni Wote.
 
Mambo yanaendelea kuwa bomba yaani hapa nimesha order Ng'ombe wawili kutoka Bongo kwa ajili ya BBQ.
 
maua ya Brazil yatakuwepo?

Mazee siku hiyo ushindwe wewe tu yaani totoz kuanzia wacheza Samba Brazil, mpaka ukija Kwa Madiba kusini mwa Africa, ukienda kwa Spanish Badonkadonks aka Puerto Ricans, Ukija pembeni unakuta totoz za Kwa Mzee Kibaki, Ukienda zaidi unakutana na totoz kutoka Kwa Kagame kabla haujakaa sawa unakutana na totoz za Kinugu na Nyeupe, Ukikaa chini unasalimiwa na totoz za Kibongo, yaani ni full kujiachia.
 
yah man....kuleni maisha vijana....hizo shoriz mkuu mbona mtu unatoa mpaka rent....ila totozi za kibongo zipunguze vitambi...na akina njerii wanawatoas sana madomo zege kama nyani ngabu.....no say NO kwa njerii
 
Mazee siku hiyo ushindwe wewe tu yaani totoz kuanzia wacheza Samba Brazil, mpaka ukija Kwa Madiba kusini mwa Africa, ukienda kwa Spanish Badonkadonks aka Puerto Ricans, Ukija pembeni unakuta totoz za Kwa Mzee Kibaki, Ukienda zaidi unakutana na totoz kutoka Kwa Kagame kabla haujakaa sawa unakutana na totoz za Kinugu na Nyeupe, Ukikaa chini unasalimiwa na totoz za Kibongo, yaani ni full kujiachia.

Yule Nyambura wa Shinyanya atakuwepo?
 
Mkuu GQ,

niandalie sehemu ya nguvu maana I will definitely be there coz
ni weekendi ya b'day yangu. Ngoja niwasiliane na mkulu Chinga
tuangalie maswala ya usafiri.

..awamu hii lazima tupate talaka tu..hehehehe!

One.
 
Mkuu GQ huyo dada kwenye tanngazo atakuwepo? Am just curios

...have fun guys! kama kuna uwezekano Bongo radio inaweza kurusha live wengine tukala kwa macho tu
 
Mazee Ab-Titchaz,
Usiwe na wasiwasi kabisa nakuandalia sehemu bomba yaani VIP kabisa wala usiwe na wasi wasi, yaani utafurahia birthday yako to the fullest. Nimeshaongea na Chinga na nitamtumia details za hotel leo baadae. Karibuni sana wote kutoka D-town yaani raha kamili.
 
Tunaweka mambo sawa kuhusiana na kurusha LIVE kutokea kwenye BBQ, Party ya usiku haina tatizo KABISA itarushwa LIVE na BONGO RADIO..
 
Mambo ndio yamekaribia kabisa na kila kitu kiko fresh, We'll be LIVE kwenye party yote kuanzia saa tano usiku kwa saa za central US (11PM CT). Mchana ni kula nyama za kutosha. Ab-Titchaz na wengine karibuni sana.
 
hahahahah Mazee unakujaga Chi-Town kimya kimya unamjua hadi Nyambura wa ShiNyaNya huyo huwa hakosi yaani mambo itakuwa bab kubwaaa.

Si unajua mazee mimi ni mtu wa low pofile kama Special Operations agent....
 
Mazee Ab-Titchaz,
Usiwe na wasiwasi kabisa nakuandalia sehemu bomba yaani VIP kabisa wala usiwe na wasi wasi, yaani utafurahia birthday yako to the fullest. Nimeshaongea na Chinga na nitamtumia details za hotel leo baadae. Karibuni sana wote kutoka D-town yaani raha kamili.

Mkuu,

rental tushachukua na Ab-Salum yuko on board.
Kwa hivyo j'mosi we will be in town kama kawa.
Got your msg via Facebook and I will keep in touch.

Bomba sana Mazee basi tutaonana Jumamosi kwenye nyama choma.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom