eti lowasa yupo icu?? Hivi mbio za mwenge ataziweza maana duh?pesa sio afya ujue.2015 ni lowasa na slaa, slaa atapata kipigo cha mbwa mwizi.
Speak laud please, hii ndio nataka. Msiwafaidishe CCM.2015 ni Lowasa na Slaa, Slaa atapata kipigo cha mbwa mwizi.
Kibunango,Kwa Migiro kilichompa nafasi ya kuweza kusema kuwa anakubalika kwa wengi ni ile nafasi ya UN ambayo hata hivyo hakuweza kuitumia vema, kumwezesha japo kutupa karata ya kugombea uprezi. Mpaka wakati huu yeye binafsi hana ndoto ya kuwa prez, sana sana ndio hizo ngoma ndogondogo zinazopigwa.
Hii ni tofauti sana kwa Zitto, kwani yeye tayali ameshaweka nia na anaendelea kujipanga kupata nafasi hiyo. Tatizo lake ni kuwa wazi zaidi, kiasi cha kuwachefua wengi, wenye kuendekeza siasa za kihistoria.
Kuhusu kuonekana kuungwa mkono na baadhi ya wanaCCM hakujaja hivihivi. Ikumbukwe kuwa Zitto amekuwa akifuatilia sana siasa za Salim A. Salim na kuzifanyia kazi. Hii ni pamoja na yeye mwenyewe kujiweka karibu na SAS ili kukuza utashi wake wa kisiasa.
Hivyo basi, Migori akisimama na Zitto, hapana shaka huo ndio utakuwa mwisho wa CCM kutawala nchi hii!