2015 ni vyema wafuatao wakajiondoa ktk vinyang'anyiro vya ubunge...!

Raisi wetu ajae ni DR W. SLAA
Makamu wake ni JOHN MNYIKA
Waziri mkuu FREEMAN MBOWE
Wizara ya mambo ya ndani, GOD LEMA
Mwanasheria mkuu TINDU LISU
Wizara ya mambo ya nje ZITO KABWE
tindu lisu c mwanachama wa cdm sasa c katiba yetu inasema mwana law mkuu hatakiwi kuwa na chama chochote au kuna ka ammendment kidogo !
 
unamaanisha hivi

log-cutting-1.jpg

That is literaly. . .then figuratively. . .but the same action
 
Bunge lote la tanzania halina utaalamu wa kusaidia wananchi. hawajui kujenga uchumi wala kuimalisha sheria za jamii. Hawajui kuweka protective policy ya kulinda bidhaa za viwanda vyetu wala kutafuta masoko nje ya nchi kwa ajili ya viwanda vyetu. hawajui kabisaa kuwatafutia kazi watu wasio na kazi. Unemployment rate ipo juu sana 87% na hii inatisha mara mbili ya ukimwi lakini wabunge ndio kwanzaaa wanapandisha allowance zao.Unemployed people 87% ni sawa na kuwa na watu wengi wasio na uhai lakini wabunge hilo hawalioni. kiendo cha japani kutuletea samaki waliokoswa koswa na mionzi nuklea hapa nchi ambao walikataliwa Ulaya na marekani ni cha haibu kupita hata kudindishaa***** mbele ya watu mkutanoni. Bunge limekaa kimyaa bila ya hata ya kumwajibisha mama Nagu.

HIvi kama hili Bunge halipendi wananchi wake nani atatupenda? mataifa yanayopenda wananchi wao walikataa zile samaki ila kwa hapa nchini hicho kimeonekana ni kitu ruksa! hata kama wale samaki walikuja kugundulika ni wazuri kwa matumizi ya binadamu lakini tahadhali ni bora kuliko hatari/. Jamani wabunge, wekeni book shelves majumbani mwenu halafu muwe mnasoma jinsi JF Kenedy alivyo ukomesha umasikini wa Baba na mama na watoto kurundikana katika nyumba moja wakati watoto wanashindwa kujitegemea katika umri unaostahili. Hapo mtapata maarifa ya mufanye nini kuikomboa familia za kitanzania zisizo na kazi.

kweli nasema na nitarudia kila mara, malezi ya ujamaa na kujitegemea ni mabaya sana kuliko hata kulelewa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe!BUnge kudai allowance wakati 87% ya watanzania hawana kazi wala kipato! Radda kununuliwa kwa bei mbaya wakati shule hazina madeski wala labs! Ndege ya raisi kununuliwa wakati mikoani na vijijini hakuna umeme wa mtera!
 
tindu lisu c mwanachama wa cdm sasa c katiba yetu inasema mwana law mkuu hatakiwi kuwa na chama chochote au kuna ka ammendment kidogo !

Kipengere gani hico cha katiba??

Ina maana Chenge kawa mwana CCM 2005???

Werema mwenyewe pamoja na kujifanya si mwana CCM, maamuzi yake yanaonyesha ameelemea wapi. Halafu atwambie ile kadi ya CCM aliyopewa JKT aliacha kuilipia lini??
 
mkuu unayoyasema ni kweli na hayo ni matokeo ya kutofautisha sana kipato ki2 kinachofanya hata wasio na taaluma ya uongozi wanakimbilia huko na kuzitelekeza taaluma zao sasa unafikili kitazungumzwa nini pale dodoma zaidi madawati yao kuchakaa wanaposubili izo posho zao
 
Kipengere gani hico cha katiba??

Ina maana Chenge kawa mwana CCM 2005???

Werema mwenyewe pamoja na kujifanya si mwana CCM, maamuzi yake yanaonyesha ameelemea wapi. Halafu atwambie ile kadi ya CCM aliyopewa JKT aliacha kuilipia lini??

kwenye katiba umeelezwa uteuzi wa AG lakini hilo shartii halijawekwa, hilo sharti limo kwenye sheria inayoitwa ATT GENERO(official affairs).
 
20.John Cheyo
21.Andrew chenge
22.peter Serukamba
23. Beatrice Shelukindo
24. Anna Abdallah
25. Mch.Getrude Lwakatale
26. Mch.Luckson Mwanjale
27. Albert Ntabaliba a.k.a obama
28. Christopher ole sendeka
29. Asumpta mshama
30. Samwel Sita
31.....

Nyie mnaenda mbali sana, kuna watuwa kufukuza nchini kabisa na na familia zao nao ni=

1.Jakaya Kikwete
2.Mizengo Pinda.
3.Bilal, sijui jina lake la kwanza wala kazi yake.
4.Anne Makinda
5.Beatrice Shelukindo aka Kigeugeu
6.Emmanuel Nchimbi
7.Adam Malima
8.Celine Kombani
9.Fredrick Werema
10. .......naogopa kumtaja....!!!!
A%20S%20embarassed.gif
 
ila kombani hadi roho yangu imepata ufa kwa kweli aanze huyu !
 
Bunge lote la tanzania halina utaalamu wa kusaidia wananchi. hawajui kujenga uchumi wala kuimalisha sheria za jamii. Hawajui kuweka protective policy ya kulinda bidhaa za viwanda vyetu wala kutafuta masoko nje ya nchi kwa ajili ya viwanda vyetu. hawajui kabisaa kuwatafutia kazi watu wasio na kazi. Unemployment rate ipo juu sana 87% na hii inatisha mara mbili ya ukimwi lakini wabunge ndio kwanzaaa wanapandisha allowance zao.Unemployed people 87% ni sawa na kuwa na watu wengi wasio na uhai lakini wabunge hilo hawalioni. kiendo cha japani kutuletea samaki waliokoswa koswa na mionzi nuklea hapa nchi ambao walikataliwa Ulaya na marekani ni cha haibu kupita hata kudindishaa***** mbele ya watu mkutanoni. Bunge limekaa kimyaa bila ya hata ya kumwajibisha mama Nagu.

HIvi kama hili Bunge halipendi wananchi wake nani atatupenda? mataifa yanayopenda wananchi wao walikataa zile samaki ila kwa hapa nchini hicho kimeonekana ni kitu ruksa! hata kama wale samaki walikuja kugundulika ni wazuri kwa matumizi ya binadamu lakini tahadhali ni bora kuliko hatari/. Jamani wabunge, wekeni book shelves majumbani mwenu halafu muwe mnasoma jinsi JF Kenedy alivyo ukomesha umasikini wa Baba na mama na watoto kurundikana katika nyumba moja wakati watoto wanashindwa kujitegemea katika umri unaostahili. Hapo mtapata maarifa ya mufanye nini kuikomboa familia za kitanzania zisizo na kazi.

kweli nasema na nitarudia kila mara, malezi ya ujamaa na kujitegemea ni mabaya sana kuliko hata kulelewa katika vita vya wenyewe kwa wenyewe!BUnge kudai allowance wakati 87% ya watanzania hawana kazi wala kipato! Radda kununuliwa kwa bei mbaya wakati shule hazina madeski wala labs! Ndege ya raisi kununuliwa wakati mikoani na vijijini hakuna umeme wa mtera!
mkuu kudindisha nini hapo sijakupta
 
ila kombani hadi roho yangu imepata ufa kwa kweli aanze huyu !

Anna Semamba Makinda tayari ametangaza kutogombea jimboni kwake; tatizo hawa watu hawaaminiki; anaweza kurudi kivingine, eti wazee wameniomba nigombee!
 
Mimi mwenyewe sintagombea,
ngoja nimalizie miradi yangu ila nikiamua ntachukua jimbo pesa ninayo mtanifanya nini,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom