EL MAGNIFICAL
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 938
- 125
- Thread starter
- #81
kwanini plez dah !hii thred ni majungu matupu
kwanini plez dah !hii thred ni majungu matupu
salamu kwenu wana jf !
Nimekaa na kutafakali nimegundua kuna watu wana uroho wa madaraka na itakuwa kawaida sana kuona bunge letu likikosa mabadiliko kila baada ya miaka 5, hivyo nimeona ni vyema kupitia jf hawa viongozi wa vyama watambue kama watapenda kulinda majimbo yao ni vyema wafuatao wasisimamishwe tena ktk kugombea ubunge:-
1. dr. Mahenge
2. steven wasira
3. Makinda
4.ndesambulo
5.mrema
6.cheyo
7.pinda
8...........
9............
10.........
11..........
Unaweza kuongeza wengne pia.
Kwanini nimewapoint hawa !
Kwakweli kwa hali ya nchi ilivyo sasa ni vyema taifa likapata vijana ambao ndio nguvu kazi sina maana kwamba wazee hawafai la hasha lakini nikimtizama mbunge wangu dr. Mahenge huwa napata wasi wasi u dr alipataje !!!
Nawasilisha.
acha udini wewe! Umewataja hao kwa sababu gani?
Mzito Akabwe, Fili Man Mbolea, Hajalima TEMBELE, Honi ya Nyika, Peter Msuguliwaji, Hodi Less Hajahema
20.Dr.Festus Limbu
Bora mi wa Tarime sijasemawe ebu acha zako hizo.Unaifahamu vizuri MWANZA MJINI?.
unamaanisha hiviWote uliowataja wasipoingia bungeni 'nakata gogo' mezani kuu ya ikulu.
Kama si chama chako kinakuuma nini?Mimi Ushauri wangu uende ukagombee wewe na pi umshauri Mwenyekiti wako MBOWE na DR Slaa watoke kwenye uongozi wa juu wabakie kama washauri tuu wa chama maana ubabe wao uanakimaliza chama chenu kilichojaa ukabila na ubaguzi wa hali ya juu kabisa
Angel moshi vijiji mnatuangusha simamisheni mtu wa ukweli inasababisha moshi kutoleta picha nzuri kwa mageuzihata mimi aisee
Mimi Ushauri wangu uende ukagombee wewe na pi umshauri Mwenyekiti wako MBOWE na DR Slaa watoke kwenye uongozi wa juu wabakie kama washauri tuu wa chama maana ubabe wao uanakimaliza chama chenu kilichojaa ukabila na ubaguzi wa hali ya juu kabisa
afadhali umepita mkuu !Kama si chama chako kinakuuma nini?
Si adui mwombee njaaa au?
unamaanisha hivi
Huyu Chana unayesema anajitahidi kwa vipi au kwa vile shosti wako? Dr.Mahenge amefanya kazi kubwa sana Makete kuliko wewe ungekuwa mbunge!! Mimi namuongeza Anna Abdalla na Hilda Ngoye.
Hapana uchaguzi wako si sahihi na hujaweka vigezo vya muhimu ambavyo vinaonyesha hawafai jaribu kuangalia wengine mbona wako wengi sana na wanatuhuma nzito!salamu kwenu wana jf !
Nimekaa na kutafakali nimegundua kuna watu wana uroho wa madaraka na itakuwa kawaida sana kuona bunge letu likikosa mabadiliko kila baada ya miaka 5, hivyo nimeona ni vyema kupitia jf hawa viongozi wa vyama watambue kama watapenda kulinda majimbo yao ni vyema wafuatao wasisimamishwe tena ktk kugombea ubunge:-
1. dr. Mahenge
2. steven wasira
3. Makinda
4.ndesambulo
5.mrema
6.cheyo
7.pinda
8...........
9............
10.........
11..........
Unaweza kuongeza wengne pia.
Kwanini nimewapoint hawa !
Kwakweli kwa hali ya nchi ilivyo sasa ni vyema taifa likapata vijana ambao ndio nguvu kazi sina maana kwamba wazee hawafai la hasha lakini nikimtizama mbunge wangu dr. Mahenge huwa napata wasi wasi u dr alipataje !!!
Nawasilisha.
8. Lowassa
9. Maghembe
10. Anna Kilango
11. Selasini
12. WOTE WANAOSINZIA BUNGENI
mwingine kwenye orodha hiyo ni
a.wenje wa mwanza akagombee kwao ujaruoni
b. highness arudi uchagani
c.zitto kabwa agombee urais
d. steiven masele ni bogus kuliko wabunge wote ndani ya bunge
e.mpina wa kisesa, ampishe tumbo w[/QUOTE
Usizungumzie urais bro, raisi wetu ajae anajulikana na kila mtu, Ni doctor wa ukweli, WIL SLAA
Waziri mkuu ni FREEMAN MBOWE
Mwanasheria mkuu TINDU LISU
Waziri wa mambo ya ndani GOD LEMA
Makamu wa rais JOHN MNYIKA
Mambo ya nje ZITO KABWE
Mzito Akabwe, Fili Man Mbolea, Hajalima TEMBELE, Honi ya Nyika, Peter Msuguliwaji, Hodi Less Hajahema