2015 ni vyema wafuatao wakajiondoa ktk vinyang'anyiro vya ubunge...!

EL MAGNIFICAL

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
938
125
salamu kwenu wana jf !
Nimekaa na kutafakali nimegundua kuna watu wana uroho wa madaraka na itakuwa kawaida sana kuona bunge letu likikosa mabadiliko kila baada ya miaka 5, hivyo nimeona ni vyema kupitia jf hawa viongozi wa vyama watambue kama watapenda kulinda majimbo yao ni vyema wafuatao wasisimamishwe tena ktk kugombea ubunge:-
1. dr. Mahenge
2. steven wasira
3. Makinda
4.ndesambulo
5.mrema
6.cheyo
7.pinda
8...........
9............
10.........
11..........

Unaweza kuongeza wengne pia.
Kwanini nimewapoint hawa !
Kwakweli kwa hali ya nchi ilivyo sasa ni vyema taifa likapata vijana ambao ndio nguvu kazi sina maana kwamba wazee hawafai la hasha lakini nikimtizama mbunge wangu dr. Mahenge huwa napata wasi wasi u dr alipataje !!!
Nawasilisha.
 
kwa upande wa ndesa napingana na wewe kuwa ni mroho wa madaraka alichokifanya Moshi kitabaki historia kwa vizazi na vizazi, naimani 2015 hatogombea tena atamwachia kijana JAFARY ambaye anakubalika sana.
 
Angel, big up kama ndesa ataachia madaraka kwa kijana ni nzuri zaidi lakini unaamini hawa wengne watathubutu kweli !
 
13. fisichawene a.k.a simbachawene - kibakwe,
14. deadstone, a.k.a livingstone- mtera
15. na sofia simba kama yupo
 
Umesahau kuwa hawa huchagulia kwa nguvu ya umma na wala si kwa kauli yako, kusahau kwako kunaweza kukawa kumetokana na kwamba leo no weekend umeshaweka vitu au ni ukilaza wako tu.
 
Au mmeamua kuwasema tu watu hapa? kuweni na subira 2015 siyo mbali kila mtu atafanya anachotaka jimboni kwake na siyo ku generalise hapa. Kumbukeni kuwa wengine mnaowataja wanakubalika katika majimbo yao na ikumbukwe kuwa majimbo mengi waliyoyapoteza CCM mwaka 2010 ni kwa makosa ya kuweka watu wasio kubalika na sijui kama watafanya makosa hayo tena mwaka 2015.
 
16. Mwakyembe
17. Mwandosya
18. Mary Mwanjelwa
19. Makongoro Mahanga

20.John Cheyo
21.Andrew chenge
22.peter Serukamba
23. Beatrice Shelukindo
24. Anna Abdallah
25. Mch.Getrude Lwakatale
26. Mch.Luckson Mwanjale
27. Albert Ntabaliba a.k.a obama
28. Christopher ole sendeka
29. Asumpta mshama
30. Samwel Sita
31.....
 
Umesahau kuwa hawa huchagulia kwa nguvu ya umma na wala si kwa kauli yako, kusahau kwako kunaweza kukawa kumetokana na kwamba leo no weekend umeshaweka vitu au ni ukilaza wako tu.


ningejutia kauli yangu nisingemuweka dr mahenge na wenzie wa ******* nje na hapo nakusamehe bure maana mnajifanyaga mmekunywa maji ya bendera.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom