Hiyo ni uongo mbona Kuna wanaoenda mwezini Kila mwezi?Huo ni uongo wa Marekani.
Hakuna binadamu ambaye amewahi kukanyaga mwezini. I swear to God!
Tupe uthibitisho wa kisayansiHuo ni uongo wa Marekani.
Hakuna binadamu ambaye amewahi kukanyaga mwezini. I swear to God!
ni fix za wazungu, wanatuona mazuzuMoon landing was a Hoax. It never happened
wewe unao?Tupe uthibitisho wa kisayansi
Kwa nini unadhani ni fix? Au kitabu unachokiamini ndicho kilichokupiga fix kwamba mwezi ni mtukufu mno kiasi kwamba hakuna binaadamu yeyote atakayeweza kuukanyaga?ni fix za wazungu, wanatuona mazuzu
tangu lini mwezi ukawa mtukufu, tunakupa taarifa tu kuwa hakuna mtu alishakanyaga mweziniKwa nini unadhani ni fix? Au kitabu unachokiamini ndicho kilichokupiga fix kwamba mwezi ni mtukufu mno kiasi kwamba hakuna binaadamu yeyote atakayeweza kuukanyaga?
Hakuna binadamu aliyefika kwenye sayari nyingine kwakuwa sayari pekee inayoweza kufikika kwa sasa ni Mars na binadamu wa kwanza anatarajiwa kufika huko mwaka 203Armstrong na Buzz Aldrin wikitembea kwenye sayari nyingine.
Huu ulikuwa mwaka 1969
Wenzetu wametuacha mbali sana
Asilimia kubwa ya watanzania wanaume walikuwa wanavaa rubega, hakuna viatuEnzi hizo sijui Tz ina hali gani
mwaka 1969Asilimia kubwa ya watanzania wanaume walikuwa wanavaa rubega, hakuna viatu
Inategemea na location, baadhi ya maeneo mambo hayakuwa unavyodhanimwaka 1969
siyo kweli ,watu walikuwa wanavaa nguo fresh tu
Mbona apawaki sasa.mwezi gan huoView attachment 2941996
Armstrong na Buzz Aldrin wikitembea kwenye sayari nyingine.
Huu ulikuwa mwaka 1969
Wenzetu wametuacha mbali sana
Nna maji niliyomwagiwa na mkeo wakati wa kumsuguawewe unao?
Watakufungia acha lugha chafuNna maji niliyomwagiwa na mkeo wakati wa kumsugua