1980's Stewart alikufa Maji Kinondoni bwawani na Antony Kamtawa alikufa maji Selender bridge, Zimamoto walishindwa 40 years tuko vilevile!

Tukio la Bukoba limenikumbusha vifo vya kuogelea vilivyochukua maisha ya Stewart na Antony miaka ile ya 1980

Stewart alifia Bwawa la Kinondoni karibu na Mahakama na Jirani na ghorofa la mama Siri Yako( Mrangi wa Ufipa unapajua)
Zimamoto walipokuja walishindwa kuuokoa mwili wa Stewart ndipo akatokea mgema mmoja wa pombe ya mnazi akaomba kusaidia. Akaweka kindoo na kisu chake pembeni akapiga mbizi, baada ya kama Dakika 10 akanyoosha mikono kuwaita askari wa Zimamoto wamfate na walipomfikia alipiga mbizi na kuibuka na mwili wa dogo Stewart

Kadhalika Anthony mtoto wa Dereva wa kwanza wa Nyerere mzee Said TANU alifia Selender bridge na mwili wake uliokolewa na Wavuvi baada ya askari wa Zimamoto kusita kuzamia wakidai eneo lile lina Chunusi

Ndio sababu kipekee nimempongeza sana Rais Samia kwa kumpa ajira Kijana Majaliwa wa Bukoba

Vyeti ni makaratasi tu

RIP Stewart
RIP Antony Kamtawa
RIP marehemu wa Precision Air

cc: Mrangi Ova
Yaani umemalizia kwamba “ kwenda Shule ni suala moja na kuelimika ni suala jingine kabisa. “
 
Mie nimekelia kinondoni karibu na bwawa Hilo unalolizungumzia. Mbona katika ukuaji wangu wengi walikufa pale, ila panadaiwa Kuna chunusi?

Au hapakuwa na chunusi? Sasa ni mda nimetoka kinondoni sijafatilia imekuaje. .
Nimesoma ile shule ya msingi kinondoni. Tumechota maji ya kumwagilia maua ya shule kwenye hilo bwawa. Sikuhizi lile bwawa limekauka... zamani mvua ilikua inaponyesha maji yanajaa, bwawa linaungana na lile la upande wa pili huku nyuma ya mahakama.
 
Siri Yako
Nimezaliwa na kukulia kinondoni ila sijawahi kujua kwamba mmiliki wa mabasi na ghorofa lile la siri yako ni mmama
 
Nimesoma ile shule ya msingi kinondoni. Tumechota maji ya kumwagilia maua ya shule kwenye hilo bwawa. Sikuhizi lile bwawa limekauka... zamani mvua ilikua inaponyesha maji yanajaa, bwawa linaungana na lile la upande wa pili huku nyuma ya mahakama.
Nimechezea Morocco FC
 
Mie nimekelia kinondoni karibu na bwawa Hilo unalolizungumzia. Mbona katika ukuaji wangu wengi walikufa pale, ila panadaiwa Kuna chunusi?

Au hapakuwa na chunusi? Sasa ni mda nimetoka kinondoni sijafatilia imekuaje. .
Simjui Chunusi naomba uweke picha yake
 
Nchi inaongozwa na Mapaka!
0AEwD9-.jpeg
QAEIFfP.jpeg
 
Nimesoma ile shule ya msingi kinondoni. Tumechota maji ya kumwagilia maua ya shule kwenye hilo bwawa. Sikuhizi lile bwawa limekauka... zamani mvua ilikua inaponyesha maji yanajaa, bwawa linaungana na lile la upande wa pili huku nyuma ya mahakama.
Kipindi maji hakuna tulikuw tunachota maji mitaa ya mahakaman hapo 1997 to 2000
Shida ya maji ilikuwa kubwa sana. .
 
Tukio la Bukoba limenikumbusha vifo vya kuogelea vilivyochukua maisha ya Stewart na Antony miaka ile ya 1980

Stewart alifia Bwawa la Kinondoni karibu na Mahakama na Jirani na ghorofa la mama Siri Yako( Mrangi wa Ufipa unapajua)
Zimamoto walipokuja walishindwa kuuokoa mwili wa Stewart ndipo akatokea mgema mmoja wa pombe ya mnazi akaomba kusaidia. Akaweka kindoo na kisu chake pembeni akapiga mbizi, baada ya kama Dakika 10 akanyoosha mikono kuwaita askari wa Zimamoto wamfate na walipomfikia alipiga mbizi na kuibuka na mwili wa dogo Stewart

Kadhalika Anthony mtoto wa Dereva wa kwanza wa Nyerere mzee Said TANU alifia Selender bridge na mwili wake uliokolewa na Wavuvi baada ya askari wa Zimamoto kusita kuzamia wakidai eneo lile lina Chunusi

Ndio sababu kipekee nimempongeza sana Rais Samia kwa kumpa ajira Kijana Majaliwa wa Bukoba

Vyeti ni makaratasi tu

RIP Stewart
RIP Antony Kamtawa
RIP marehemu wa Precision Air

cc: Mrangi Ova
Wee Mheshimiwa ajira gani na akajifunze nini na wapi? Ningetamani mtu mwenye hekima azungumze naye baada ya kijana kutuliza mawazo; wachukue muda ili waanze na mambo muhimu atakayohitaji ili zawadi elimu mpya na ajira iwe na maana. Ajira yenyewe inaweza kumwingiza kwenye ufukara zaidi isipoangaliwa vizuri . Mbona haraka mno namna ya kumsaidia!?
 
Hilo Bwawa ni natural or man made mkuu, naweza pata picha yake. Ni kinondoni ipi
Bwawa ambalo linajaaa maji ya mvua. Ukifika shule ya kambangwa, au msisiri, au shule ya kinondoni. Kuna shule tatu mitaa Ile watakuelekeza tu.Hata ukifika mahakama ya kinondoni utaliona. .
 
Maneno Tu ya waswahili kipindi kile zamani wanafunzi wa kinondoni walikufa Sana kipindi cha mapumziko walikuwa wanacheza kwenye hayo mabwawa, nakumbuka kipindi hicho ukoo wa mwaulanga walikuwa wanadai Hilo ni eneo la familia Yao nahisi mpaka Leo lipo chini yao
Wakina mwaulanga nawajua ila sijajua kama Hilo eneo Kiko chini Yao au la. Nikimuona mwanae Obi nitamuliza. .
 
Hadithi ya Chunusi ilitengenezwa ilu watu wasiogelee Selender bridge kwa sababu ilikuwa njia kuu ya Mchonga Naniliu kila Siku

So watoto wa mitaa hiyo ya Kambangwa, Komakoma, Buibui hadi Kinondoni shule waliamini Hata bwawani kuna Chunusi mnyonyadamu

Ikumbuke huku mtaani tuliambiwa kuna " mumiani"

Duka letu la Kaya lilikuwa kwa skins Josia na Kaunda
Haya mambo yalivuma sana wakati nakua. Sikuwahi kuyatilia maanani hata kidogo
Mwaka juzi Niko Rombo nimeshuhudia kwa macho yangu sijaambiwa. Dogo mmoja alidumbukia kwenye shimo ambalo wanadai Huwa Lina tabia ya kunyonya watu damu na anayefanya hivyo chunusi ambae Yuko humo ndani.
Wana Kijiji ambao wako around tulienda tukamkuta dogo anapumua kwa shida. Huwezi amini tunavuta lakin kama Kuna kitu kimemshikilia. Kwa macho naona mwili wa dogo unanyauka. Mpaka polisi walikuja na dogo alizikwa kesho yake mkavu kama kakaushwa. .
Mambo mengine sio ya kusimulia ujionee mwenyewe. .
 
Back
Top Bottom