1980's Stewart alikufa Maji Kinondoni bwawani na Antony Kamtawa alikufa maji Selender bridge, Zimamoto walishindwa 40 years tuko vilevile!

Haya mambo yalivuma sana wakati nakua. Sikuwahi kuyatilia maanani hata kidogo
Mwaka juzi Niko Rombo nimeshuhudia kwa macho yangu sijaambiwa. Dogo mmoja alidumbukia kwenye shimo ambalo wanadai Huwa Lina tabia ya kunyonya watu damu na anayefanya hivyo chunusi ambae Yuko humo ndani.
Wana Kijiji ambao wako around tulienda tukamkuta dogo anapumua kwa shida. Huwezi amini tunavuta lakin kama Kuna kitu kimemshikilia. Kwa macho naona mwili wa dogo unanyauka. Mpaka polisi walikuja na dogo alizikwa kesho yake mkavu kama kakaushwa. .
Mambo mengine sio ya kusimulia ujionee mwenyewe. .
rombo sehemu gan bwasheee!!!
 
Haya mambo ya kuangalia vyeti kwenye ajira ndio yameturudisha nyuma waafrika, tunahusudu makaratasi badala ya ufanisi ajabu hii, halafu makaratasi yenyewe ni yametokana na elimu shalow sana ambayo haikidhi vitendo na ujuzi wa dunia ya leo
 
Aibu ya Ndege ya precision itabaki milele na kama rejea kwenye airline industry, kwenye ajali za water bodies. Ubalozi wa Marekani umehudhunika sana na Ujima wa nchi hii na kuamua dhahiri kuwapongoza wavuvi na watu wa kawaida kbsa
 
Wee Mheshimiwa ajira gani na akajifunze nini na wapi? Ningetamani mtu mwenye hekima azungumze naye baada ya kijana kutuliza mawazo; wachukue muda ili waanze na mambo muhimu atakayohitaji ili zawadi elimu mpya na ajira iwe na maana. Ajira yenyewe inaweza kumwingiza kwenye ufukara zaidi isipoangaliwa vizuri . Mbona haraka mno namna ya kumsaidia!?
Nimekuelewa
 
Nimemuelewa
Haya mambo yalivuma sana wakati nakua. Sikuwahi kuyatilia maanani hata kidogo
Mwaka juzi Niko Rombo nimeshuhudia kwa macho yangu sijaambiwa. Dogo mmoja alidumbukia kwenye shimo ambalo wanadai Huwa Lina tabia ya kunyonya watu damu na anayefanya hivyo chunusi ambae Yuko humo ndani.
Wana Kijiji ambao wako around tulienda tukamkuta dogo anapumua kwa shida. Huwezi amini tunavuta lakin kama Kuna kitu kimemshikilia. Kwa macho naona mwili wa dogo unanyauka. Mpaka polisi walikuja na dogo alizikwa kesho yake mkavu kama kakaushwa. .
Mambo mengine sio ya kusimulia ujionee mwenyewe. .
Warombo wanaenda sana Makete kwa Mwakipande!
 
Nishasema simjui hapo juu
Watoto tulisoma nao primary walinyonywa damu pale. Tukiwazika makaburi ya kino
Kuna siku nilimuuliza mzee mmoja kuhusu hili la chunusi kunyonya damu,
Yule mzee alijibu kuwa kwenye mabwawa au madimbwi makubwa huwa kuna matope mengi chini

Hivyo watoto wanapoogelea hujikuta wamenasa kwenye matope na mwisho wanapokufa maiti hutoka na kuelea juu

Ndipo tunaambiwa amenyonywa damu na zilipoisha chunusi akamuachia

Ila hakuna Doctors waliothibitisha kuwa wamenyonywa Damu hata ndugu kuona matundu kwenye mwili wakiwa wamenyonywa damu

Ndio maana nikawa nataka ushuhuda wa huyo Chunusi ila ni MYTHS
 
Mie nimeona kwa macho so I can assure you. Unajua kitu ukisikia huwezi elewa mpaka uone kwa macho. .

Hata unachosema nishaona. Kuna jamaa hapa manzese uwanja wa TP. Mvua ilinyesha maji yakajaa mto mbu. Jamaa akaona fridge kinaelea. Jamaa alilifuata akazama kwenye tope likammeza mpaka Leo. .

Pia nakumbuka kinondoni pale kwenye transformers mtaa wa Togo. Kulikuw na shimo la kukusanya maji tukiwa wadogo Kuna watu walipotea pale tulikuw tunaenda kuwafuata salenda bridge huko. .
 
Nilitegemea mwisho ungeshauri serikali nini wafanye katika kuboresha jeshi la uokoaji, kwa sababu bwana majaliwa kuajiriwa alafu hakuna wataalam na vifaa vya kisasa toshelezi ni sawa na kuchukua maji kwenye ndoo na kuyamwaga baharini kwa kudhania kina cha maji kita ongezeka
 
Mie nimekelia kinondoni karibu na bwawa Hilo unalolizungumzia. Mbona katika ukuaji wangu wengi walikufa pale, ila panadaiwa Kuna chunusi?

Au hapakuwa na chunusi? Sasa ni mda nimetoka kinondoni sijafatilia imekuaje. .
Toka alipojenga diwani pametuliaga.
 
Maneno Tu ya waswahili kipindi kile zamani wanafunzi wa kinondoni walikufa Sana kipindi cha mapumziko walikuwa wanacheza kwenye hayo mabwawa, nakumbuka kipindi hicho ukoo wa mwaulanga walikuwa wanadai Hilo ni eneo la familia Yao nahisi mpaka Leo lipo chini yao
Ndio ni lao
 
Back
Top Bottom