~~~~~~~//~~~~~~~~

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,231
Mvulana:naweza nikapanda milima mirefu, naweza nikaongelea baharini kwenye kina kiredu na hata kutembea kwenye mkaa wa moto unaochoma,hii yote nikuonyesha jinsi navyokupenda

Msichana: Jamani dia una maneno matamu ndo mana nakupenda,leo uje basi getoni kwangu.

Mvulana: We mjinga nini? siwezi kuja nje mvua inanyesha.
 
Jaribu kusema ''ALFA'' halafu useme tena ''Q'',sasa rudia hayo maneno haraka haraka kwa sauti.
 
Kulikuwa na jamaa mmoja amekaa katika baa maeneo mageni kwake, alikuwa na kinywaji chake mbele yake na alikuwa anakiangalia kwa muda mrefu, ghafla akatokea jamaa mmoja baunsa amelewa na akiwa na demu akashika glasi ya mchizi akainywa,huku anacheka

jamaa akaanza kulia, yule baunsa akamuambia,
BAUNSA: (huku anacheka) yaani wewe mjinga kweli kukuchukulia kinywaji ndio ulie??ngoja nikununulie kingine,**** kweli wewe.

JAMAA: (huku analia) siyo hivyo ila sijui nina mkosi gani leo, maana nimeamka asubuhi nikachelewa kazini nimefika bosi akanifukuza kazi, natoka nje gari yangu imeibiwa nikenda polisi wakanizungusha tu, nikapanda tax kwenda nyumbani nimeshuka katika tax nikasahau walet na simu katika tax na dereva tax si mjui,
nimeingia ndani kwangu namkuta mke wangu amelala na kijana wangu wa kazi
nikaamua kuja bar nimekaa nafikiria jinsi ya kuepukana na balaa hili la maisha na wewe umekuja umekunywa sumu yangu.
 
Jamaa ana vidole vigumu vya mkono mpaka akigusa keyboard ya computer,computer inasema NEW DEVICE FOUND AND READY TO INSTALL.
 
Kuna dogo aliokota Condom iliotumika, akaenda kwa mama ake mazungumzo yakawa km ifuatavyo:
Mtoto: Mama nimeokota pulizo!
Mama: Embu tulione!
(Mtoto kutoa kumbe ni cndom iliootumika!)
Mama: Iyo chafu tupa!
Mtoto: Shtaki mimi! (Huku akigoma!)
Mama: tupa nakwmbia, ntakuchapa!
Mtoto: shawa mama natupa ila uji uliokuwa ndani nshaunywa wote shasha!
 
Jamaa wawili walikuwa wakitoka matembezini saa6 usiku waliamua kutumia njia ya mkato kupitia makaburini kurudi makwao. Wakiwa katikati ya makaburi mara wakasikia mlio kama mtu anagonga kitu, tap-t ap, Jamaa wakapata woga wasijue la kufanya. Mara kwa mbele wakamuona babu m1 akiwa na nyundo na chizo (tupa) akichonga maandishi kwenye kaburi. M1 kati ya wale jamaa akasema,"aargh! Kumbe ni wewe babu! Umetuogopesha sana! Tulifikiri ni mzimu! Vp mbona unafanya kazi usiku namna hii?". Babu akajibu, "si hawa wajinga walikosea spelling za jina langu banah! Ndo narekebisha hapa!".
 
Shindano ilifanyika la kuwashindanisha watu wavivu.....jamaa aliyeshinda wakati wa kutoa zawadi akaambiwa achukue zawadi,akajibu ''' Aaahh mi nimechoka bhana''
 
aisee......mtaalamu wa kuporomosha machozi na kuvunja mbavu za watu. thanks
you made ma day.
 
Sasa ndo nimeweza kuvuta pumzi maana nilishikwa na kicheko balaa,safi sana mkuu.
 
Kuna dogo aliokota Condom iliotumika, akaenda kwa mama ake mazungumzo yakawa km ifuatavyo:
Mtoto: Mama nimeokota pulizo!
Mama: Embu tulione!
(Mtoto kutoa kumbe ni cndom iliootumika!)
Mama: Iyo chafu tupa!
Mtoto: Shtaki mimi! (Huku akigoma!)
Mama: tupa nakwmbia, ntakuchapa!
Mtoto: shawa mama natupa ila uji uliokuwa ndani nshaunywa wote shasha!

kila nikitafakari sioni mkari kama wewe kaka ha ha ha ha ha ha.
 
Kulikuwa na jamaa mmoja amekaa katika baa maeneo mageni kwake, alikuwa na kinywaji chake mbele yake na alikuwa anakiangalia kwa muda mrefu, ghafla akatokea jamaa mmoja baunsa amelewa na akiwa na demu akashika glasi ya mchizi akainywa,huku anacheka

jamaa akaanza kulia, yule baunsa akamuambia,
BAUNSA: (huku anacheka) yaani wewe mjinga kweli kukuchukulia kinywaji ndio ulie??ngoja nikununulie kingine,**** kweli wewe.

JAMAA: (huku analia) siyo hivyo ila sijui nina mkosi gani leo, maana nimeamka asubuhi nikachelewa kazini nimefika bosi akanifukuza kazi, natoka nje gari yangu imeibiwa nikenda polisi wakanizungusha tu, nikapanda tax kwenda nyumbani nimeshuka katika tax nikasahau walet na simu katika tax na dereva tax si mjui,
nimeingia ndani kwangu namkuta mke wangu amelala na kijana wangu wa kazi
nikaamua kuja bar nimekaa nafikiria jinsi ya kuepukana na balaa hili la maisha na wewe umekuja umekunywa sumu yangu.
Heeeeeh, hii kali. Kungekuwa na zawadi ya bingwa wa aliyechekesha kwa wiki kushinda wote wewe ingeibuka mshindi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom