ndondo cup

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    TCRA mmebariki huu Upuuzi wa Viongozi wa Timu za Ndondo Cup Kusifia kufanya Ushirikina Mubashara Redioni Clouds FM?

    "Hela tuliyopata tumeenda kununua Mayai Viza, Kuku Mweusi na Udi na kumpelekea Mganga wetu wa Kienyeji na kwa jinsi tunavyoenda Kuwaroga Watatukoma" Shabiki wa Timu Moja inayoshiriki Michuano iliyosifiwa na inayosapotiwa na Rais wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ya Ndondo Cup' kwa Mikoa...
  2. ChoiceVariable

    Mlio jirani na Rais mshaurini; ni sawa kutoa zawadi lakini kutapanya pesa nyingi kiasi hiki hapana!

    Juzi hapo eti Rais akitoa mil. 500 Kwa Taifa Stars kuingia Afcon, Leo tena eti anatoa mil. 92 Kwa Ndondo Cup. Hata Kama ni Kuunga mkono Michezo,kutapanya pesa za Walipakodi Kwa wingi huu Haikubaliki. Matokeo yake badala ya watu kufurahia inatuma ujumbe wa Moja kwa Moja kwamba anatumia pesa za...
  3. S

    TFF yatoa tamko baada ya Shaffih Dauda kutangaza Ndondo Cup

    Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)
  4. Uzalendo wa Kitanzania

    Kocha wa Simba aondoka Usiku huu kwenda kwao Brazil

    Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
  5. Greatest Of All Time

    Wallace Karia: Ligi za Dar zimekosa mvuto kwasababu ya Ndondo Cup

    Rais wa TFF, Wallace Karia amesema ligi za Mkoa wa Dar Es Salaam zimekosa mvuto na umaarufu kwasababu ya michuano ya Ndondo Cup ya Clouds Fm. Pia akaenda mbali zaidi kwa kusema, Ndondo Cup zinatuharibia wachezaji wa ligi kuu kwani wengi huumia wakiwa wanacjeza huko kwenye viwanja vibovu. Sasa...
  6. kavulata

    Haji Manara anafaa kuwa msemaji wa timu ya ndondo cup

    Kweli Simba na Yanga wana utani ambao wote tumeukuta, lakini wakati huu ambao timu zinaingia kwenye uwekezaji wa kibiashara hazihitaji msemaji kama Manara mwenye utani ule wa kale wa uhasama na uhasimu. Utani wa Manara ulipitiliza kiasi kwamba shabiki wa Yanga unashindwa kuinunua bidhaa ya...
  7. S

    Shaka ashauri Ndondo Cup iwe michuano ya Kitaifa

    Na Mwandishi Wetu, Mikocheni-Dar es Salaam. Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa itikadi na Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka usiku wa tarehe 01/07/2021 ameungana na watanzania wengi ambao ni wana michezo katika hafla fupi ya uzinduzi wa mashindano ya mpira wa miguu maarufu kama NDONDO CUP hatua ya...
  8. tramadol

    Mkuu wa Mkoa wa Dar hajazuia mashindano ya Ndondo Cup kuchezwa uwanja wa Bandari Wilaya ya Temeke

    Taarifa za michezo ya Ndondo Cup kuchezewa uwanja wa Kinesi badala ya Bandari haijatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kama baadhi ya wana JF wanavyo ihabarisha umma wa wanamichezo na kuhusisha jambo hilo na yaliyotokea siku za nyuma kati ya Clouds media na Mkuu wa Mkoa wa Dar. Na mpaka Sasa hakuna...
Back
Top Bottom