kukumbukwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyankurungu2020

    Imekuwa mapema sana hayati John Magufuli kukumbukwa tofauti na Lumumba, Thomas Sankara na akina Nkrumah

    Kiongozi mzalendo ni mzalendo tu. Lazima mema yake kwa taifa lake ya outweigh mabaya yake. Leo hii hata miaka mitattu haijakatika kila mtu anakumbuka na ina bakia story tu kuwa angekuwepo hii nonsensical deal or contract isingefanyika. Huko Congo Drc leo wanatamani kupata Lumumba mwingine...
  2. IamBrianLeeSnr

    Amri kumi za kukumbukwa kwa mabinti wote ambao hawapo kwenye mahusiano Duniani

    1. Usiharakishe kutoka nyumbani kwa wazazi wako kwa gia ya kwenda kuolewa. 2. Usimsubiri mwanaume mpaka aje ndio uanze kuishi. Unaweza kuishi maisha timilifu hata ukiwa huna mwanaume. 3.Achana na pombe zimewauwa wenzako wengi kwa kisingizio cha kuondoa stress na wewe unaweza kufa pia. 4...
  3. Moshi25

    Matokeo ya kukumbukwa leo Simba kapasuliwa na Yanga Kirumba

    1. Onyango kazeeeka alipewa mwili akaanguka kama gunia la mchanga Mayele huyo anaenda kufunga akaamua kumpasia Zanzibar finest Feisaaaaaaaaalll! 2. Nyoni kushindwa kuvaa vizuri hereni yake akahangaika mpaka refa akamuona na kumtoa nje wakati Simba ishapasuliwa muda huo 3. Simba kuwa mbovu na...
  4. K

    Mbowe hakutegemewa kuwa kiongozi wa kukumbukwa Tanzania

    Ni vigumu sasa kwenda sehemu yoyote ya Tanzania na kuuliza kama wananchi wa eneo hilo wanamjuwa kiongozi aitwae Freeman Mbowe, au chama chake cha CHADEMA. Niseme binafsi yangu, tangu nimsikie Mbowe kuwa kiongozi wa CHADEMA, sikuwahi kumpa nafasi kubwa kwenye viongozi ambao ningesema nawatambua...
Back
Top Bottom