jehanamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Vichekesho

    Aliye tengeneza neti / chandarua moja kwamoja MOTONI / Jehanamu / Hell

    Neti inakera sana hususa ni kwetu wanaume weusi warefu, unakuta inakugusa gusa miguuni na kichwani, inakera sana, raha ya usingizi inatoweka. Halafu kuna mbu wanafanya mashambulizi kutokea nje. Wafupi hamta elewa hii adha ila mkikuwa mtajionea. #UziTayari
  2. Wadiz

    Kwa Wanaume kuoa ni Jehanamu ya Kujitakia . Kataa kuoa uishi kwa amani hapa Duniani

    Asofunnzwa na wazazi hufunzwa na walimwengu, huu msemo utaishi mpaka kiama. Ni sawa na kusema katika nyakati ambazo wanawake wanapoteza uanamke wao na kuvaa joho la uanaume katka nafsi zao. Kwa muktadha huu ndoa nyingi wanaume ni kama wanajiwekea njia madhubuti ya umauti wao. Hivyo ili...
  3. Intelligent businessman

    Kijana kuwa makini, mahusiano ni kama pepo au jehanamu yako

    Mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke, mwanamke. Kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilikufa kwa sababu ya wanawake, na kuna mamilioni ya wanaume ndoto zao zilisonga na kufanikiwa kwa sababu ya wanawake. Mpaka leo sijaoa, sijaoa kwa sababu sijaona sababu ya kufanya hivyo kwanza. Naona ndoa...
  4. Objective football

    Leo nimeondoka rasmi jijini Dar es Salaam baada ya kupata mchongo Jehanamu

    Hakika dar es salaam ni Mji ulionipa marafiki wengi, network kubwa na hata pesa ya kuishi japo kuna siku mji huu ulinilaza njaa. Asubuhi ya leo wakati natoka mbezi kuja huku mkoani chozi limeni tililika sana(fear of new changes) Doh! nimefika mkoani , nikaenda kuripoti kituo changu cha kazi...
  5. tpaul

    Rais Samia ukijiepusha na hizi dhambi utaingia peponi

    Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Chini ya utawala uliopita tumeshuhudia matukio mengi ya ovyo yenye kulifedhehesha taifa kwa kiasi kikubwa. Ni katika utawala huo kulikuwa na matukio ya watu wengi kupotea katika mazingira ya utata, na hawajawahi...
  6. R

    Binadamu anapokufa roho yake humrudia Mungu au huenda mbinguni au jehanamu?

    Kitabu cha Mhubiri, moja ya vitabu vya biblia, sura ya 12 aya ya 7 inasema baada ya kufa roho ( nguvu/kani ya uzima iliyo ndani ya mwanadamu) humrudia Mungu aliyeitoa. Mafundisho ya roho ya mwanadamu kwenda Mbinguni/paradiso au jehenamu baada ya kufa yametoka wapi?
  7. Chizi Maarifa

    Watanzania nadhani wengi tumefika Jehanamu hata kidogo tu. Au ndo tumeshafika?

    Maisha ya watanzania wengi ni ya dhiki, adha na mateso. Mchana inzi usiku mbu. Watanzania maskini wanakamuliwa maziwa yameisha sasa wanakamuliwa damu. Maji ni shida ,umeme ni shida, chakula ni tabu, pesa wanapata kundi la watu flani tu. Mnasema tutafika mbinguni tumechoka.... Hamna...hamuwezi...
  8. Samson Ernest

    Jehanamu ya moto ipo na itaifanya kazi yake siku itakapopokea wateja wake

    "Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum", Mt 10:28 SUV. Zipo dhana nyingi juu ya hili, wapo wanakataa kuwa hakuna jehanum, wapo wanakubali kuwa ipo, wapo wanaamini ukishakufa basi, na wengine wanaamini Mungu...
  9. Joannah

    Hivi Jehanamu iliumbwa lini?

    Za jioni jamani, Kwa Imani yangu iliyonikuza tuaamini Kuna Jehanamu,,katika kitabu cha mwanzo sura ya kwanza tunaona uumbaji wa kila kitu,Mbingu,Nchi,binadamu na wanyama hata mimea na kadhalika. Ila kuumbwa kwa hii sehemu ya kutisha kuliko zote hatujaona uumbaji wake,, JEHANAM ILIUMBWA lini...
  10. R

    Jehanamu ni uhalisia au ni jambo la kupumbaza akili za watu?

    SWALI/MJADALA: Jehanamu ni kweli "moto" usiozimika ambao Mungu atawakaanga humo watu ambao hawakufuata maagizo yake? Mungu huyu ambaye anajitanabaisha kwamba ni UPENDO na UPENDO huo unasemwa kwamba HAUHESABU MABAYA, HAULIPI KISASI, HUSAMEHE YOTE: Ndiyo huyo Mungu wa kukaanga watu kwenye moto wa...
  11. LIKUD

    Udhaifu wa hoja ya uwepo wa Jehanamu

    Miaka elfu Kumi ijayo Dini za ukristo Na uislamu huenda zikawa zimetoweka kabisa Afrika( kwingineko duniani zinatoweka Kwa Kasi ya ajabu ) na watu watarejea kwenye Imani zao ZA asili ZA matambiko . Kwa Sababu ukitafakari Kwa kina utagundua mafundisho mengi ya Dini hizi yapo kinyume Na uhalisia...
  12. Frumence M Kyauke

    Imekuwa jehanamu kwangu lakini sasa niko tayari: Willy Paul ataja sababu za kunyamaza na kuchelewesha albamu yake

    Hatimaye albamu mpya ya mwanamuziki Wilson Radido almaarufu kama Willy Paul itaachiliwa wiki ijayo baada ya kusubiriwa kwa kipindi kirefu. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, nyota huyo wa muziki wa kisasa amesema amekuwa akipitia magumu siku za hivi karibuni na ndio maana akachelewesha albamu...
  13. Chizi Maarifa

    Masaa 10 ya Jehanamu nyumbani kwa Sister

    Last Jumamosi nilipata mualiko kumtembelea Sister Home kwake Mikocheni. Nilienda na Mke Wangu na Mtoto wetu mmoja wa miaka 4.5 Saa nne tulikuwa tumefika home maana tuliambiwa siku hiyo hata kinywa tukafungulie pale na jioni tukifungie pale pale. Waswahili wanasema mtu hakatai wito. Sister ana...
Back
Top Bottom