javascript

  1. mathsjery

    Siku zote Java Script itaendelea kuwa lugha ya kipekee sana

    Matumizi ya javascript yanaendelea kukua kila siku kwa kuwa ndio lugha pekee inayoweza simama pekee yake pande zote mbili yaani frontend na backend aiseh nafikiri uwepo wa node. JS ni sababu moja kubwa ya javascript kuwa na sifa hii na kuinuka kidedea mara kwa mara. Mimi sina mengi nachangamsha...
  2. Kuchwizzy

    Inertiajs - Lightweight javascript library unayopaswa kuijaribu

    Niaje wana Tech.. Kama miezi minne iliyopita nilikutana na hii Javascript Library Inertiajs Kidogo ni mpya, ila nikajaribu kuitumia kwa sababu kuu zifatazo Nilikua na upgrade Projects zangu kutoka Laravel 7 kwenda Laravel 8 Laravel 8 ime ship na package moja nzuri sana inayoitwa Laravel...
  3. Candela

    Jifunze programming

    Habari wana jamvi, naanza kufundisha javascript programming. Focus kubwa itakuwa katika web development. Utajifunza dynamic web pages. Gharama ni sawa na bure, utalipia 10,000 na ntafundisha kwa mwezi mmoja. Mfumo wa kufundisha ni whatsapp or telegram kutegemea na mwitikio wenu. Ntaanza rasmi...
  4. kali linux

    The future of Javascript developers and their projects: Inachekesha ila inaumiza pia

    Hello bosses, Kuna kitu kimenikaa sana ngoja nikiseme. Unajua developers wengi wa kiafrica ninaowafahamu wananishangaza sana hasa hasa kwenye upande wa javascript. Mtu unakimbilia kujifunza frameworks na libraries tu bila kuwa na core knowledge ya javascript. Hii inapelekea watu kupata errors...
  5. Binadamu Mtakatifu

    Special thread for Javascript programmers and learner's

    Habarini wakuu mimi najifunza javascript japo kuna baadhi ya vitu sivielewi ningependa mnieleweshe muundo wa js kanuni muhimu za js na neno return linatumika vp kufunction code nanjia bora za kujifunza js Kwa sasa ninajua HTML,CSS Ahsanten na natumai mtanipa ufunguzi.
  6. K

    MERN stack developer or React Native developer anahitajika

    Je kama wewe ni full stack javascript developer, MERN (MongoDB, ExpressJS, ReactJS, NodeJS) au una experience na REACT NATIVE with FIREBASE or NODEJS backend, tuwasiliane kupitia namba hizi 0788 826 982.
  7. Dr Orb

    Muongozo wa software developer anaeanza part-3 (WEB BASED APPLICATION)

    Uzi huu unaletwa kwenu na Orb Tech LLC. Ni muendelezo wa uzi huu Muongozo wa software developer anaeanza part-2 Sehemu hii tutazumgumzia Web based applications. Kama tulivyoainisha hapo awali hizi ni program zinazotumia internet katika kufanikisha jambo lililokusudiwa mfano Kupatana...
Back
Top Bottom