january makamba

  1. Roving Journalist

    Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  2. Cannabis

    Uchaguzi 2020 January Makamba akana kuporwa fomu kwa mgombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia CHADEMA

    Mhe. January Makamba amenukuliwa katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii wa Twitter akikanusha kuporwa fomu za kuteuliwa kugombe ubunge kwa muomba ridhaa ya kugombea Ubunge jimbo la Bumbuli kupitia CHADEMA. Habari zilianza kuenea mitandaoni mapema asubhuhi kuwa Mgombea wa CHADEMA jimboni...
  3. Pascal Mayalla

    Japo yamesemwa mengi mazuri kuhusu Mkapa, kwa maoni yangu, maneno haya ya January Makamba ni one among the best kumhusu Benjamin William Mkapa

    Wanabodi, Wakati leo tunampumzisha mpendwa wetu Benjamin William Mkapa kwenye pumziko lake la milele. Nilidhamiria Kwenda Lupaso Kumzika Mkapa. Mimi ni mwandishi wa kujitegemea, ambaye sifanyii kazi chombo chochote cha habari, lakini habari zangu nasisambaza vyombo mbalimbali vya habari na...
  4. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 January Makamba asema hana uhakika kama atagombea Ubunge 2020

    Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kwa sasa bado hana uhakika kama atagombea tena ubunge katika uchaguzi mkuu ujao mwaka 2020. Makamba ametoa kauli hiyo kupitia ukurasa wake wa Twitter ambapo amesema atafanya uamuzi Desemba mwaka huu atakapokuwa mapumzikoni. “Sina uhakika juu ya hili...
  5. Zitto

    Rais Magufuli huhitaji kujieleza unapomtoa Waziri. Kwa January Makamba jikalie kimya

    Rais Magufuli kwenye sababu za kumuondoa January Makamba bora jikalie zako kimya. Nimekusikia Rais leo ukijaribu kuelezea sababu za kumuondoa Uwaziri Bwana January Makamba. Kwa kweli hukuwa umejiandaa na maelezo ya kuridhisha. Rais, kwenye suala la mifuko ya plastiki tunajua ukweli kwamba...
  6. figganigga

    Mradi wa umeme wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station kuondoka na Waziri January Makamba

    Heshima kwenu wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano Mheshimiwa January Makamba, huenda akatumbuliwa kutokana na kuwa kikwazo katika Ujenzi wa Stiegler's Gorge Hydroelectric Power Station. Inasemekana January Makamba kaunda tume ya Wataalam wa kuchunguza athari...
  7. Pascal Ndege

    January Makamba: TANZANIA hatujafikia kunufaika na Gas

    Kwa wale waliyofuatilia siku January Makamba alipokuwa akitangaza nia alisema Tanzania hainufaiki na gas na haitanufaika na gas ndani ya miaka 20 ijayo! Katika hotuba yake aliianisha vyanzo vyote vya mapato isipokuwa gas na kusema kwa mikataba hii Tanzania haitanufaika na gas kwa miaka 10...
Back
Top Bottom