habibu .a. hanga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KazidiBBM

    Mvuke kwenye maji ya baridi chanzo chake ni nini?

    Habari ya muda huu wanajamii, Nina jambo linanichanganya kidogo naomba ufafanuzi kwa anayefahamu. Hivi ule mvuke unaokuwa unachuruzika kwenye chupa ya maji ya baridi huwa unatoka wapi na kama umewahi fanya utafiti kama maji ni ya baridi sana na ukaiweka. Hiyo chupa kwenye chombo kingine kama...
  2. SumadaVinci

    Je ni kweli Rais wa Nigeria, Buhari alishafariki toka 2017

    Jana katika pitapita zangu mitandaoni nikakutana na habari hii huko nchini naijeria ukiachana na kile kinachondelea huko maandamano ya wananchi na SARS yao. kuna habari nyingine nlikutana nazo zimhusuzo muhammadu buhari raisi wa nchi ya naijeria inayoeleza kwamba alishakufa mwaka 2017 nafasi...
  3. Akili zangu hazipo sawa

    Kwa anayejua yalipo maduka ya vitabu au maktaba vinakopatikana vitabu vya kutatua changamoto mbalimbali za maisha. Msaada tafadhali

    Naamini mambo ni powa, samahani kwa yeyote anayejua ambapo duka la vitabu vya kujisaidia katika nyanja zote za maisha,namaanisha zile self help books, kwa MTU anaejua maduka au maktaba zinazitoa vitabu hivi. Msaada wako tafadhali.
Back
Top Bottom