biashara ya vinywaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mbimbinho

    INAUZWA Nauza Duka la vinywaji (Container, Crates na mkataba wa eneo) GOBA Njia nne

    Habari zenu, Kama title inavyosema, nina duka la vinywaji baridi na moto, ila nimeamua kuuza kutokana na kukosa msimamizi na shughuli zangu zimekuwa zinanibana sana. Hivyo Ninauza 1. Containter (20FT) Pamoja na 2. Crates za beer (TBL 78, SBL 45) 3. Soda (Coca 40, PEPSI 28) 4. PIKIPIKI TVS 5...
  2. B

    Biashara ya Vinywaji vikali

    Habarini ndugu, Nilikuwa naomba usharudi wa utaratibu unaohitajika kufungua duka na kuuza pombe kali Dodoma mjini. Ningependa niwe nauza jumla na rejareja. Natakiwa nianze wapi kama eneo tayari ninalo(urban area) ambapo kuna mzunguko wa watu na pub. Nina mtaji wa 20m
  3. H

    Kufanya biashara ya vinywaji au nafaka Kisesa Mwanza

    Kwema wadau nilikuwa naomba kujua je eneo la Kisesa Mwanza ni pachangamfu kufanya biashara ya vinywaji baridi soda maji n.k au ya nafaka kwa Bei ya rejareja Mwenye uzoefu na biashara hizo kwa eneo la kisesa mwanza naomba points zenu muhimu. Asante
  4. j_h_kirigini

    INAUZWA Friji ya kioo (milango miwili) - biashara ya vinywaji

    bei yake: 1.2 milioni sehemu: ukonga, g.mboto namba ya simu: 0764 509226 risiti yake ipo. gharama ya usafiri ndani ya Tanzania kutoka lilipo kwenda linapoenda mnunuzi na muuzaji wanachangia nusu gharama.
  5. K

    Ushauri kuhusu biashara ya kuuza vinywaji vya aina zote (Vikali na vya kawaida)

    Wana jamii jamani hebu nisaidieni. Nataka kufanya hii biashara ya kuuza vinywaji kwa Arusha inakuwaje? WADAU WENGINE WANAOHITAJI USHAURI KUHUSU BIASHARA HII MAJIBU KUTOKA KWA WADAU MBALIMBALI KUHUSU BIASHARA HII PIA, SOMA: Ni dhahiri kwamba wajasiriamali wengi wamekuwa wakijiuliza...
Back
Top Bottom