amuua mkewe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mwanamwana

    Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

    Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili. Tukio hilo limetokea majira ya saa...
  2. M

    Tabora: Mume amuua mkewe na kumfukia chini ya uvungu wa kitanda.

    Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Salima Maulid mkazi wa Mtaa wa Mbilani Kata ya Kidogo Chekundu Manispaa ya Tabora, ameuawa na mtu anayedaiwa kuwa ni mumewe kisha mwili wake kufukiwa chumbani, chini ya uvungu wa kitanda. Mwili wa marehemu tayari umefukuliwa na Jeshi la Polisi...
  3. DreezyD98

    Kilimanjaro: Mume adaiwa kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga

    Jeshi la Polisi mkoani Kilimanjaro linamshikilia mwanaume mmoja, mkazi wa Mero, wilaya ya Moshi, Mkoani Kilimanjaro kwa madai ya kumuua mkewe na kumjeruhi mtoto mchanga kwa kile kinachodaiwa ni wivu wa mapenzi. Mwanamke huyo ambaye anatambulika kwa jina la Fausta Tesha (26) aliuawa kwa kukatwa...
  4. Suley2019

    Geita: Afariki dunia baada ya kuchomwa kisu mara 17

    Mkazi wa Lukirini, Kata ya Kalangalala, wilayani Geita, Amina Hassan (34) amefariki dunia wakati akipata matibabu katika Hospitali ya Mkoa wa Geita baada ya kudaiwa kuchomwa visu mara 17 maeneo mbalimbali na mume wake. Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa wa Geita, Ally Kitumbu amethibitisha kutokea...
  5. JanguKamaJangu

    Manyara: Amuua mkewe kisa Tsh. elfu kumi

    Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Petro Basco (38) mkazi wa Gabadaw Wilayani Babati Mkoani Manyara kwa kosa la kumpiga mkewe Maria Sakware (49) kwa fimbo na kumsababisha kifo huku chanzo kikielezwa kuwa mtuhumiwa kumtuhumu mkewe amechukua pesa yake kiasi cha shilingi elfu 10. Tukio...
  6. Poker

    Amuua mkewe kisa house girl!

    Bwana mmoja huko Sopango Ug Zimbabwe amemuua mkewe kwa kumchinja kisa kikidaiwa kuwa mke aligoma kupewa talaka ili mume amuoe house girl huyoo! Hivo baada ya vuta nikuvute mke akaamua kumfukuza house girl ndipo mume kwa hasira akaamua kumchinja kama kuku mke wake halali wa ndoa. Poleni sana ila...
  7. mwanamwana

    Katavi: Mume amuua mkewe, mwanaye kisa ugomvi wa gunia 60 za mpunga

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi linawashikilia watu wanne waliokiri kufanya mauaji katika matukio tofauti, akiwamo mmoja aliyemuua mke na mwanawe na kuitupa miili yao kwenye pori la Kalilankulukulu wilayani Tanganyika. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumanne Machi 15, 2022 Kamanda wa...
Back
Top Bottom