Starlet glanza vs toyota celica

mabwiku

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
447
389
Habari wanajanvi,napenda sana gari hizi mbili,ila naomba kujua uimara na confotability yake unapokua barabarani pamoja na fujo za apa na pale,napenda mbio sana ila naomba nianzie na hiki,moja ya kuzipenda ni pamoja na upatikanaji wake wa spare,fuel consuption n.k,,
Nawakilisha
 
Nimekuwa kwenye Glanza na Celica. Both are good cars. Celica inakimbia sana. Niliiendesha mwaka 2005. Nilifanikiwa kufika hadi km170 kwa saa. Glanza iko chini sana ila inakula mafuta kidogo.
 
Gari mbili tofauti kabisa kwa ukubwa wa engine mbona?
Celica hazitengenezwi tena ila zilikuwa na 1.8 na Starlet ni 1.2


Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Back
Top Bottom