Search results

  1. C

    Tigo acheni utapeli

    Naomba Mamlaka zinazohusika zifuatilie tabia ya Kampuni hii na nyinginezo ya kuendelea kukata malipo ya ku download muziki mfululizo kana kwamba maombi hayo ni ya kudumu. Huu ni wizi wa hadharani.Mtindo wa kujipatia pesa kwa njia ya vigezo na masharti ya ulaghai ni kosa la jinai.Kampuni hizi...
  2. C

    Ting jirekebisheni

    Wamiliki wa TING rekebisheni mitambo yenu iwe automatic kwa ajili ya ku recharge malipo na chanel zenu bado ni chache ikiwemo LOVE WORLD ambayo inaonekana jina tu.Aidha siwaelewi kwenye fomu zenu za kujiunga kwa nini mmeweka kipengee cha DINI mlikuwa mna maana gani.
  3. C

    Kipima joto na elimu

    Pamoja na Wasemaji wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Baraza la Mitihani kusepa kushiriki kwenye kipindi hicho kinachorushwa na ITV lakini nahisi mnatoa macho pima kukideku.Kuweni na ujasiri wa kutetea maamuzi yenu yenye utata.Msitegemee kila kitu kinachosemwa na hao mnaowaita Wahisani...
  4. C

    Kitamu zaidi ya vyote

    Je, wana JF ni kitu gani kitamu sana hapa duniani.
  5. C

    Hi wana JF

    Habari zenu wana JF.Mpo High au Hoi.Tupo pamoja.
Back
Top Bottom