Ting jirekebisheni

CHOMA

Senior Member
Aug 22, 2012
118
9
Wamiliki wa TING rekebisheni mitambo yenu iwe automatic kwa ajili ya ku recharge malipo na chanel zenu bado ni chache ikiwemo LOVE WORLD ambayo inaonekana jina tu.Aidha siwaelewi kwenye fomu zenu za kujiunga kwa nini mmeweka kipengee cha DINI mlikuwa mna maana gani.
 
Hicho king'amuzi nilishakitupia uvunguni zamani sana...hawana jipya.
 
Hivi nchi hii hakuna mamlaka ya ksimamia hivyo ving'amuzi? maana hawawatendei haki wananchi wanaogharamia hivyo ving'amuzi.
 
Back
Top Bottom