Search results

  1. D

    Heslb + tcu+ second batch+ mauaji

    Haki ya Mungu kama HESLB hamtakuwa wazi na kusema kama kuna kitu kinachoitwa SECOND BATCH, mtasababisha mauaji mitaani. nina imani na hakika kwamba huyu mnayemwita TAPELI ametumia mwanya wa SECOND BATCH kujipatia mamilioni ya wanafunzi walioomba mikopo wakakosa na hata kile kidogo walicho nacho...
  2. D

    HESLB + TCU+VYUO-APPLICANTS=complaints

    mnalalamika nini ndugu zangu? unatangaza kuwa una kuku 100 ambao hawajaanguliwa kumbe mayai yenyewe viza, waacheni wafanye kazi zao muda ukifika tutajua kama tuna kuku au la, tusipotoshane kwa vyanzo hewa na kusabishiana matatizo, ona sasa mdogo wangu Perry tangu juzi hajala kisa HESLB, leo...
  3. D

    St. Johns university

    haya wale Watakatifu wa Yohana wote mliochaguliwa ingieni kwenye website mpate orodha nzima na maelekezo yote muhimu, shime mjiandae tar. 8 october tukaanze kula kitabu. HONGERENI SANA.:flypig:
  4. D

    Truth about tcu

    upi ni ukweli kuhusu TCU jamani? nimeangalia zaid ya applicants 12 profiles zao ziko marked NOT YET PROCESSED sasa nielewe lipi ndugu zangu nisaidieni tu.
  5. D

    selection status' NOT YET PROCESSED

    hii inakuwaje mpaka sasa?
  6. D

    2012/2013 selection via TCU

    jamani mbona wengine profiles zetu ziko marked Not yet Processed? kuna nini?
Back
Top Bottom