2012/2013 selection via TCU

jamani mbona wengine profiles zetu ziko marked Not yet Processed? kuna nini?
Usiwe na wasiwasi (hasa kama jina lako halimo katika ile list ya waliokosa). Kuna watu nawafahamu wamechaguliwa UDOM, kwa mfano lakini profiles zao mpaka sasa zinaonesha "Not yet processed".

Kwa ujumla, TCU bado hawajajipanga ipasavyo. Sioni ni kwa nini katika uombaji wanataka mwombaji aweke postal address, email address, phone numbers kama vyote hivi wanashindwa kuvitumia ipasavyo katika kufanya mawasiliano na waombaji!
 
Walitoa but now wamebadirisha tena maamuz naona badae badae watarudisha again, ngoja tuisubiri
 
Usiwe na wasiwasi (hasa kama jina lako halimo katika ile list ya waliokosa). Kuna watu nawafahamu wamechaguliwa UDOM, kwa mfano lakini profiles zao mpaka sasa zinaonesha "Not yet processes".

Kwa ujumla, TCU bado hawajajipanga ipasavyo. Sioni ni kwa nini katika uombaji wanataka mwombaji aweke postal address, email address, phone numbers kama vyote hivi wanashindwa kuvitumia ipasavyo katika kufanya mawasiliano na waombaji!

Mfano mzuri ni Mimi nimechaguliwa UDOM ila profile yangu iko masked "NOT YET PROCESSED" so vijana ondoeni shaka
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Usiwe na wasiwasi (hasa kama jina lako halimo katika ile list ya waliokosa). Kuna watu nawafahamu wamechaguliwa UDOM, kwa mfano lakini profiles zao mpaka sasa zinaonesha "Not yet processed".

Kwa ujumla, TCU bado hawajajipanga ipasavyo. Sioni ni kwa nini katika uombaji wanataka mwombaji aweke postal address, email address, phone numbers kama vyote hivi wanashindwa kuvitumia ipasavyo katika kufanya mawasiliano na waombaji!

You hit the nail on the top, bro.
 
asante mno maana nimeanza kupta wasiwasi, thanks in deed
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Back
Top Bottom