Search results

  1. B

    Samahan JF Doctors. Msaada kwa tatizo hili kubwa

    Samahan docter. Kunarafiki yangu alikutana na tatizo la kuto mwaga shahawa na uume kutokua na nguvu ambalo lilimnyima raha kiasi cha kukata tamaa na maisha. Alieleza; yeye ni mvulana mwenye miaka 22. Siku moja alipanga kukutana na rafiki yake wa kike kwa mara ya kwanza walipofika walianza kama...
  2. B

    Msaada pls kwa yeyote mwenye idea

    Wanajukwaa naomben msaada. Nina friend wangu ananisumbua. Yeye ali make aplication for second round na akaandikiwa adimited jordan university colege. Sasa akichek acount za watu wa first round kwa profile anaona kabisa kwamba your admited some where. There 4 anasema mbona kwake aiandik ivo?
  3. B

    Kwa walio apdate form zao za mkopo baada ya kukosea

    si kwamba hawajafanya hivyo bali mkuu form zao bado hazijafanyiwa kazi bado
  4. B

    Kwa walio apdate form zao za mkopo baada ya kukosea

    Kwa wale ambao walikua na matatizo ya kuto atach picha ya mdhamini ambao majina yao yali be desplayed kwenye website ya bodi, ambao waliambiwa wazitume kwa njia ya ems na wakafanya hivyo, majina yao hayataonekana tena kwenye zile list mimi ni mmoja wapo na nimefanya hivyo na naona jina langu...
  5. B

    News muhimu:msaada jamani wanajamnii

    asante sana mkuu. tutatafutana.
  6. B

    News muhimu:msaada jamani wanajamnii

    jaman naomben msaada mimi nilisoma HGE na nili fell bam o and a lavel af wakanichagulia bach. science in agricultural economica and agrobisness SUA vip kwanai hii mambo ina mahesabu sana?
  7. B

    Kuhusu mabadiliko kwa facult husiyo itaka

    kwenda uko. mwache mwenzako akasome. oy kasome ukikazana unauwa usisikilize ya watu kwani computar nini? kasome.
  8. B

    Ivi hili ni la kweli kuhusu hzi grades tulizowekewa 1st year wa udsm?

    mbona mnakua kama kenge maji? BODI wanasubir wale waliokosea form zao ambao walipewa fursa ya kuziapdate wamalize kwanza af ndo watoe kwa pamoja kwani wewe unataka wakutoe wewe peke yako? nakama sio bas subir.
  9. B

    Mpya kwa wale wanaotakiwa kuconfirm their allocation

    aaf wakuu em tuambizane jaman et naskia mwaka wetu hamna loan asilimia 100. ni kwell au uzush?
  10. B

    Mpya kwa wale wanaotakiwa kuconfirm their allocation

    nadhan si wote coz nimechek my name sijaona their 4 not all
  11. B

    Kwa mnaofahamu kuhusu hii bach.sciens in agr and agr ecnmcs

    kwa mnao soma sua au pengine mnaoifahamu hii fuclt ya bach. sciens in agricultural and agroeconomics vip naski a mziki mnene au mnasemaje? pia isn it mrketable. tujiandae kuja kusoma vt gan?
  12. B

    Waliochaguliwa SUA hapa!

    naitwa beltomaiko tutakua ote kweny bch.scns in agrbsnes
Back
Top Bottom