Sioni kama ni sawa kumtupia lawama Hayati kwa mwenendo wa mambo yalivyo hivi sasa.
Magufuli alijitahidi mno kwa wakati wake kuhakikisha
1. Miundombinu inakaa sawa
2. Nidhamu ya watendaji serikalini inakuwa ya hali ya juu
3. Huduma muhimu i.e maji, umeme, Afya, Elimu, na chakula vinakuwa si...
Umaskini ni hatari,
Na ndio maana, kila mmoja anapaswa kuukimbia na kupambana nao kwa kufanya kila linalowezekana kihalali.
LAKINI SI KUUZA NAFSI ndugu, Wazo ilo ulilonalo jaribu kuliondoa and see the beauty of this life through hustling.
Mwendokasi kwa sasa umekua usafiri wa mateso ukilinganisha wakati unaanzishwa na madhumuni yake kiujumla.
Umekokotoa vyema na umeshauri vizuri.
Yafuatayo ni ya kuzingatia;
1. Waongeze idadi ya magari
2. Wafanye matengenezo ya magari yao
3. Madereva wao na viongozi wa vituo, wanachotakiwa...
Ni kwasababu sisi raia , tunatafuta mlinganyo , huku tukishambulia kila anachokifanya Mama, tukisema hakikufanyika awamu iliyopita na maisha yalikuwa poa.
Na kwakua Mama nae sio mkaa kimya sana, anaamua kuumwaga ukweli, ili tusikie , ingawa haisaidii.
Ifike wakati, viongozi wa kitaifa waache kuzungumza mambo yasio na tija kwenye jambo la msingi kama hili na linalo gharimu maisha ya wengi.
Wajifunze/ waige nchi jirani kama Kenya na Rwanda jinsi walivyo manage suala la bei ya mafuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.