Utamaduni wa watu, usiwapangie. Kwani unadhani kila mtu anapenda wanawake wanaovaa madera? Kuongea kama cherhani? Kwenda kwa waganga? Vigodoro? Wewe ndio mshamba usiejua kuna kitu kinaitwa diversity. Arusha is just different. Deal with it.Habarini wana JFwenzangu,
I hope mko gud.
Moja kwa moja niende kwenye mada asilimia kubwa ya mademu wa chuga wanazingua kichizi wengi wao unakuta wanavuta bangi, kuchanja mirungi (veve) na madawa mengne ya kulevya, sasa demu unachanja ili iweje kwa mfano?
Madhara yake ndo tunapata wanawake wabovu kwenye jamii hawaezi kufanya chochote zaidi ya matumizi ya miadarati.
Hii nimeiona sana kwa mamamilo wa chuga hivi ni kwamba hawajitambui au ni ujinga tu umewajaa vichwani mwao? Sio mademu wa chuga tu ata mikoa mingine.
Mimi kwa mtazamo wangu naona kabsa wamekosa self awareness!
Waache ushambaa
Naomba kuwasilisha.
Kwahiyo madem kuvuta bangi na kuchanja veve ni utamaduni??Utamaduni wa watu, usiwapangie. Kwani unadhani kila mtu anapenda wanawake wanaovaa madera? Kuongea kama cherhani? Kwenda kwa waganga? Vigodoro? Wewe ndio mshamba usiejua kuna kitu kinaitwa diversity. Arusha is just different. Deal with it.
Unathibitisha maneno yangu.Kwani kutoa ushauri mpka uombwe?
mimi sio juha
Write complete sentences please.you talk fucking
Ulichoandika "you talk fucking" hakina maana yoyote.you talk fucking
Mbona jumla jumla hujaweka waziHabarini wana JFwenzangu,
I hope mko gud.
Moja kwa moja niende kwenye mada asilimia kubwa ya mademu wa chuga wanazingua kichizi wengi wao unakuta wanavuta bangi, kuchanja mirungi (veve) na madawa mengne ya kulevya, sasa demu unachanja ili iweje kwa mfano?
Madhara yake ndo tunapata wanawake wabovu kwenye jamii hawaezi kufanya chochote zaidi ya matumizi ya miadarati.
Hii nimeiona sana kwa mamamilo wa chuga hivi ni kwamba hawajitambui au ni ujinga tu umewajaa vichwani mwao? Sio mademu wa chuga tu ata mikoa mingine.
Mimi kwa mtazamo wangu naona kabsa wamekosa self awareness!
Waache ushambaa
Naomba kuwasilisha.
Mada inahusu wadada wa arusha wewe kutwa nzima unawaza swala lako la kutobolewa ugali na unaweka bendera yenu kabisa hapa..
Kama mji mzima unanuka jani iwe bar, kwenye daladala, sokoni na mitaani unategemea hapo Kuna watu!Habarini wana JFwenzangu,