Comment ziwe fupi fupi

ALIYEKUWA Askari Polisi FFU, Ramadhani Hassan Ali maarufu Afande Rama, amefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Vuga, kujibu mashtaka mawili yanayomkabili.

Mbele ya Hakimu Khamis Ali Simai, Mwendesha Mashtaka Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar, Muhammed Saleh, alidai mahakamani kuwa mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile na kufanya maudhi makubwa ya kingono.

Alidai kuwa mshtakiwa alitenda makosa hayo mapema Machi mwaka huu, kitendo ambacho ni kosa kwa mujibu wa Sheria za Zanzibar.

Mshtakiwa huyo alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza akitokea mahabusu ya polisi bila ya wakili wa kumsimamia.

Shtaka hilo limeahirishwa hadi Aprili 4, mwaka huu na mshtakiwa amepelekwa mahabusu huku upande wa mashtaka ukidai unaendelea na upelelezi.

Ilidaiwa kuwa askari huyo alijihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwa kuruhusu kuingiliwa kinyume na maumbile huku video fupi inayoonesha tukio hilo ikisambaa mtandaoni.

Hivi karibuni, Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Hamad Khamis Hamad, alisema askari huyo alishapandishwa kwenye mahakama ya kijeshi kutokana na tuhuma hizo ambazo ni kinyume na mwongozo na kanuni za kiutendaji wa jeshi hilo (PGO).

NIPASHE
 
Uchunguzi unaendelea

Shubamit
 
1679651240525.png
 
GENTAMYCINE uliyeniiga ID yangu na hili Parody lako naenda Kuchukua Zawadi yangu ya Mamilioni ya Shilingi kwa Kushinda Zawadi ya Ushindi wa Jukwaa la Michezo ( Sports ) hapa JamiiForums kwa mwaka jana 2022.

Na Wewe jitahidi ushinde hu mwaka.

Cc: parody lenzako lingine GENTAMYCIME

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King ( alias ) Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer na kamwe hatokuja kutokea mwingine wa Kushindana nami, Kunizi ( Kunifunika ) hapa JamiiForums hata mkijitahidi Kuniiga hii ID yangu Tukuka ( Brand ID ) na iliyobarikiwa na Mwenyezi Mungu ya GENTAMYCINE.

Kudadadeki.
intataina fela
 
Back
Top Bottom