Search results

  1. C

    UDOM kokotoeni hivi kupata asilimia...

    huu ni mfano wangu kias cha mkopo-3547500 ada-1200000 field-600000 meals and accomodation-1837500.. Kwa kuwa unatakiwa ulipie 282500 kabla ya tar 30 sept,iko kias hatuta kihusisha kwenye hesab yetu..fanya hvi; (mkopo-meal n ac)3547500-1837500 unapata 1710000.. 1710000-field unapata...
  2. C

    Nisaidien hapa..Naweza kufanya kazi gani baada ya kusoma degree in information systems?

    wakubwa naomba mnieleweshe vizur..nimechaguliwa Bsc in information systems dodoma..sikuiomba lakin nimekubali kuisoma,naomba kwa anaeifaham,aniambie tu naweza kufanya kaz gan hapa kibongo bongo nikisha graduate?natanguliza shukran zangu
  3. C

    mh..huu* ugeni huu

    ivi jamani, nkishapiga hodi..af nikakaribishwa,niwaamkie au asalamaleykum,au gudevenin! Tuimbe kama bss.. WANA JF FUNGUA NJIAAA,KITOTO CHAANZA TAMBAA..im new
  4. C

    jaman nani anaijua automobile engineering aniamb...

    jaman ni nan anaijua vizur automobile engneering aniambie ukishaisoma unaweza fanya kazi gani? Ina maslahi? Unasoma nini hasa? Ni hayo tu, nielimisheni
  5. C

    kwa anaefaham much about automobile

    habari zenu.. Kutokana na mchecheto nloingia nlipoingia account yangu tcu baada ya kua not admitted, nlijaza bach.sci.in automobile engneering ya N.I.T.. Nkaambiwa nko admitted bada ya hapo..sasa leo nltaka nchange ikanigoma,coz npo admittd..sas ka unaijua hyo courz tell me naweza kuwa nan...
Back
Top Bottom