Search results

  1. C

    Naomba tafsiri ya kinyarwanda kwenda kiswahili.

    Nafahamu jf iko worldwide. Ninaomba tafsiri ya wimbo huu ulioimbwa kwa lugha ya kinyarwanda. Wimbo unaitwa Urugero umeimbwa na Butera Knowles. Here is the attachment:
  2. C

    Kwanini Omar al Bashir ameondolewa sasa?

    Aliyekuwa Rais wa Sudan tangu mwaka 1989 amekuja kuondolewa madarakani bila wengi kutarajia. Cha kushangaza zaidi (kwangu mimi) kuondolewa kwake kuliasisiwa na raia wake (civilians), baadaye jeshi likachukua hatua ya kumuondoa amiri jeshi mkuu madarakani. Hili limemenya nijiulize maswali...
  3. C

    Watalaamu wa "geopolitics" nisadieni kuhusu Brexit

    Nimefuatilia swala la Brexit tangu mwaka 2016. Awali niliona ni swala tu la nchi (UK) kuamua kujitoa kwenye umoja wa ulaya (EU), lakini muda unavyozidi kwenda naona jambo hili limekuwa likigonga sana vichwa vya habari. Nimekua nikisikia jambo hili limetishia hadi PM May kutaka kupigiwa kura ya...
  4. C

    Great thinkers mawazo yenu yanahitajika hapa.

    Katika mazingira mengi (most cases) wanadamu tumeumbwa kuitikia (respond) matukio mbali mbali kwa namna tofauti. Hata hivyo jambo hili linatofautiana kwa mwanadamu mmoja na mwingine. Mfano ikitokea watu kadhaa wamepata taarifa za msiba. Kuna watakaochanganyikiwa na kuweza kupata au kupatwa na...
  5. C

    Naomba kuuliza hili kwa niaba ya kina mama(wanawake)

    Ni kitu ambacho kinaweza kuonekana au kufahamika(common) kuwa kina mama(wanawake) wengi kuwa huwa wanaongezeka uzito(gain weight) pindi wanapo jifungua(kupata mtoto) kwa mara ya kwanza na kuendelea. Sina hakika sana ila nadhani wengi wao hawaipendi hali hii. Kutokana na hili baadhi yao wamekuwa...
  6. C

    Nimeona ni vizuri kushirikisha hii kuhusu GOOGLE

    Leo nilijikuta najiuliza, hivi inakuwaje search engine ya google inakuwa na jaarifa nyingi na up to date kuhusu mambo mengi hapa duniani? Wanawezaje kukusanya taarifa zote hizo wakati hawapo kila mahali? Hayo pamoja na maswali mengine mengi yakanifanya nirudi huko huko "google" tena. Na huko...
  7. C

    Swali kwa wataalamu wa afya na watafiti

    Straight to the topic. kwa ufahamu na umri nilionao, nimegundua kuwa siku hizi mama zetu wengi wamekuwa wakijifunguakwa operation(upasuaji) tofauti na miaka kumi au zaidi kurudi nyuma. Nimejaribu kufuatilia nikaona kuwa jambo hili halitokani sana na umri wa mzazi, kimo, unene au wembamba, nyonga...
  8. C

    Wataalamu wa mifugo toeni mchango wenu hapa

    Straight to the topic: Nimekuwa nikishuhudia kwa muda mrefu jinsi wafugaji wanavyoveka alama mifugo yao kwa kuwachoma kwa kutumia vyuma vya moto, wenyewe wanaita chapa. Kama nakumbuka vizuri, kuna wakati serikali iliwahi kuzui upigaji chapa kwa sababu ya kwamba upigaji chapa unaharibu ubora wa...
  9. C

    Wataalamu wa Anatomy/Physiology saidieni hapa.

    Kuna swali limetokea kunifikirisha sana, nalo ni hili: Nini kinasababisha uvimbe/kuvimba(swelling). Ninahitaji kufahamu the process of swelling. Najua zipo sababu nyingi za kuvimba, mfano kung'atwa na nyuki(mfano), kujigonga sehemu ya mwili, kuteguka kiungo fulani cha mwili n.k. Pia kuna sababu...
  10. C

    Kwanini AZAM two hawana neno "live"(mubashara)?

    Sina maneno mengi. Watazamaji wa Azam TV watakuwa mashahidi wa hili. Kwa muda mrefu sasa Azam two hawaweki nembo ya live au mubashara kwenye matangazo yao ya moja kwa moja. Hili linafanya wakati mwingine mtazamaji asijue kama matangazo ni ya moja kwa moja au la. Tafadhali wahusika, iwe ni Azam...
  11. C

    KUPATWA KWA MSTAAFU

    Habari zenu wana jf. Tafadhali naomba kama mtu anayeweza kuwa na tangazo fulani, nadhani ni la mfuko wa kijamii. nililisikia kipindi fulani redioni lakini sasa hivi silisikii tena. Anayeweza kuliweka hapa please aliweke.
  12. C

    Kwanini Mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi ya HIV Tanzania?

    Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia takwimu mbali mbali kupitia vyombo mbali mbali kuwa mkoa wa Njombe unaongoza kwa maambukizi na waathirika wa UKIMWI. Swali langu ni la kidadisi(curiosity). Napenda kusikia toka kwa wataalamu na watafiti(kama tafiti zipo), kwanini isiwe majiji na mikoa mikubwa...
  13. C

    NAWEZAJE KUTUMIA WHATSAPP KWENYE PC?

    Nimejaribu kutumia Bluestacks kwenye PC kwaajili ya whatsapp lakini software hii mara nyingi anasababisha PC kuwa nzito na mara nyingine niki-start bluestacks imekuwa na tabia ya kuzima PC. Hivyo naomba kupewa msaada wa kitaalamu kama kuna uwezekano wa kutumia whatsapp kwanjia rahisi na isiyo na...
  14. C

    Msaada, jinsi ya kuondoa whatsapp pop up advertise.

    Wadau naomba msaada wa jinsi ya kuondoa tangazo la whatsapp ambalo limekuwa likijitokeza mara kwa mara ninapowasha data kwenye simu yangu. Tangazo hili linaniambia nitumie version ya whatsapp wanayotumia wengine. Tangazo hili lina options mbili ambazo ni ku-cancel au "get it", mbaya zaidi hata...
  15. C

    Hello members, jaman msaada.

    If by any chance someone hear or see the announcement of the search of Doctor in NEUROLOGICAL kindly share with me... Am looking for dat job in East Africa... Much love to you.
  16. C

    educatîon forum nahis mtakua na msàda kwangu

    deadline ya kuappeal ni lini? na je kuna faida juu ya hili?
  17. C

    jaman nishaurin!!!

    nivute waya wa kebo dstv au ninunue kingamuzi? na nini faida ya zote mbili
  18. C

    je haya ndo mapenzi ???

    wapendw inawezekana jabisa mimi cjui mapenzi ninini hebu someni hiki kisà then tushauriane "nina mdg wangu alikua anakaa na mpz wake since 2010 june ilipofika 2011 nikaanza kuletewa kesi dada mr kanipiga nikawapatanusha na kuwaambia mapz ya kupigana yameptwa na wakati, wakarud tena mara tatu...
  19. C

    Degree ya Clearing & Forwarding: Help me plz

    jaman anaejua kama kuna degree ya clearing and forwading au degree ya shipping management na kama ndio je ni chuo gani?
  20. C

    wapendwa tusaidiane!!!!

    Je kuna degree course ya clearing and forwading??Na vipi kuhusu shipping management ina degree pia,kama zipo zinapatikana chuo gani
Back
Top Bottom