Kuchi soko lake gumu. Nitajie kuku choma ipi au hoteli ipi wana serve kuchi. Kuchi ni oversize kwa masoko mengi mazuri. Kuchi ni kwa kitoweo cha familia. Distribution ni ngumu
sana.
—————
Bavuvi
Ninapanga kuanzisha mradi wa mifugo (kuku wa kienyeji, mbuzi, nk.) kwenye shamba la ukubwa wa ekari 7 lililopo wilaya ya Bahi Dodoma. Natafuta mtaalamu mwenye uzoefu wa uchambuzi yakinifu wa mradi wa mifugo. Nahitaji mtaalamu anisaidie kufanya yafuatayo:
1. Kutembelea eneo na kukusanya taarifa...
Part Time Housekeeper
Maelezo ya kazi
- Usafi wa ndani
- Kuandaa asubuhi chai na dinner tu
- Masaa 5 kwa siku (asubuhi 12 - 2.30) jioni saa 10 - 12), siku 6 kwa wiki.
- Mfanyakazi anaweza kufanya kazi hii huku akiendelea na shughuli nyingine, mfano masomo
- Familia ina watu watatu. Wote...
Send only CV and cover letter by email to cezosopa@gmail.com.
Deadline 6th January.
Successful applicants should be able to report to work in Dodoma on 15th January.
Hi, St. Ivuga, Hakuna vi-memo, Nina uhakika.
Kama una vigezo please omba. Au kama una ndugu/jamaa mwenye sifa mhamasishe kuomba.
Salaries are competitive, eg. assistant lecturer carries approx 2m.
Assistant lecturer in accountacy and finance - nafasi 3 (Bachelor in acc/fin >=3.5GPA + Master's in acc/fin >=4.0 GPA)
Principle human resource officer - nafasi 1 (>3 years experince a PHRO)
Lecturer in human resource management - nafasi 1 (PhD or Master's + experinces + publications in peer...
Regional Planning - nafasi 3 - requires masters degree
Environmental Planning - nafasi 4 - requires masters degree
Finance and Accounting - nafasi 2 - requires masters degree
Research Fellow (poverty related) - nafasi 1 - - requires PhD
Salary is comparable to any government university of...
Ndugu wana JF,
Tafsiri ya "Development Finance" kwa Kiswahili imenipa shida sana. Je ni Maendeleo ya Fedha au Fedha za Maendeleo, au nk.
Naomba msaada.
Wenu,
Bavuvi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.