Search results

  1. I

    Hongera Tundu Lissu: Hoja ya kurudisha Tanganyika!

    Nampa hongera sana mheshimiwa tundu lisu
  2. I

    Hisia zangu juu ya TBC

    Yuko wapi TIDO mhando jamani, TBC inakufa maana sijui ni nani huwa anaandaa vipindi kwenye chombo hiki cha habari, Sasa hivi vipindi ni vibaya havina hata mvuto kuangali, Taarifa ya habari ndo haileweki,Picha inachelewa ku desplay mpaka huwa namuonea huruma mtangazaji,. ni kipindi kimoja tu...
  3. I

    Sakata la Mgomo wa madaktari

    Madaktari bingwa wasema nchi nzima hakuna CT-Scan, Jamani what is going on in this country. Hivi napenda kuuliza waliosababisha kukosekana kwa huu mtambo ni CHADEMA?, au magamba wenyewe. Nakelwa jamani na cccccmuuu, yao
  4. I

    Nakelwaaaaa jamani,.

    Jamani mi nakelwa na huyu mtu anaeitwa MWIGULU MNCHEMBA, Huyu jamaa ni kabila gani kwani? Ananikela jamani, Kwanini anajidai namna hii huyu jamaa yupo tayali kuwatukana wezake bila hata kujali wala kukemewa Hivi huyu jamaa akiwa prof, itakuwaje ana shahada tu hapo ni taabu hatuna raha,Kusema...
  5. I

    CCM wapigana vibaya Kawe na mkutano kuvunjika

    moto bado hawa magamba, nadhani mwisho wao umefika
Back
Top Bottom