Search results

  1. afrique

    Note 20 ultra screen black out

    Inayo ila niliponunua wanasema warranty haikavi kioo, hapo ndio nnaposhindwa kuelewa
  2. afrique

    Note 20 ultra screen black out

    Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina mchango kwenye kuharibika kwa hiyo screen Kikombe kiko kwa wakala wao niliponunua Arusha (mhindi...
  3. afrique

    Sale sale sale nguo za kike za mtumba nusu bei

    Duka linapatikana njiro 88 pick n pay Baada ya crdb Room no 8 Nguo nzuri za kike ziko kwenye punguzo Suruali za vitambaa 10000 ukipata kuanzia 5 @8000 Magauni 10000 Skirt 10000 Jeans 8000 Instagram:Divineclothingstore_arusha 0762 998333
  4. afrique

    Mtumba grade 1 bei ya sale

    Napatikana njiro 88 pick n pay Room no 8 Arusha Nauza nguo za mtumba za Watu wazima Suruali za ofisi 10000 Ukipata kuanzia 5 bei8000 Magauni 10000 Skirt 10000 0762 998333
  5. afrique

    Naomba ushauri katika kuagiza gari. Je, nitumie mitandao mikubwa au niende kwa dealers

    Habari zenu, Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom. Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom! Ushauri wenu experts na experience zenu zitanisaidia
  6. afrique

    Utafanyaje pale ambapo mpenzi wako kaja na lovebite shingoni?

    How???mi mwenyewe nakisoma lakini hapa nimeshindwa kuvumilia maumivu
  7. afrique

    Utafanyaje pale ambapo mpenzi wako kaja na lovebite shingoni?

    Ulilia akikuona au ulitafuta chimbo!!!uliwezaje kuvumilia kuendelea kua naye hadi mwaka uishe??
  8. afrique

    Utafanyaje pale ambapo mpenzi wako kaja na lovebite shingoni?

    M Mke wa ndoa kabisa????hukumuuliza kitu???
  9. afrique

    Utafanyaje pale ambapo mpenzi wako kaja na lovebite shingoni?

    Hata Size nguvu ya kuuliza sina yaani, hamna mdudu hapo
  10. afrique

    Utafanyaje pale ambapo mpenzi wako kaja na lovebite shingoni?

    Kwa kweli ni ngumu mno sijui haya mapenzi kwa nn yalikuepo Loh!!!! Wanaume mtuhurumie jamani Yaani babe hakuwepo kwa week sasa karudi jana na love bite shingoni Duh!!!nikashindwa hata kuuliza nimebaki tu nahema kama nimepanda mlima Hivi ikikukuta wewe utafanyaje!!
  11. afrique

    msaada nashindwa kupromote account yangu ya instagram

    Nimeattach maelezo nnayopewa naombeni mnisaidie wataalam
  12. afrique

    Karibuni kwa nguo za mtumba grade one

    [QUOTabman, post: 20944852, member: 377876"]Unauza kwa robota/ jumlajumla au rejareja? Reja reja
  13. afrique

    Nauza Sony Xperia Z1

    Ntatuma whatsapp nimeshindwa ku upload
  14. afrique

    Nauza Sony Xperia Z1

    350000
  15. afrique

    nauza Sony Xperia z 1

    TE="Zugak17, post: 20947522, member: 239736"]Weka Address yako itakuwa poa zaidi Niko Arusha
Back
Top Bottom