Search results

  1. P

    Jussa na Zanzibar huru, ndani ya CNN - Inside Africa

    Wadau leo katika kipindi cha inside Africa, ndani ya kituo cha CNN, mmoja wa wadau waliokuwa wanafanyiwa interview ni Ismail Jussa, anasema Zanzibar lazima irudishiwe sovereignty yake iliyopotea na wawe huru na huu ni msimamo wa vyama vikuu viwili huko Zanzibar, CCM na CUF. May take: Je, CCM...
  2. P

    Ismael Jusa na Zanzibar huru, ndani ya ccn, inside African

    Wadau leo katika kipindia cha inside Africa kwenye cnn tv, walikuwa zanzibar, mmoja wa watu waliofanyiwa interview ni Ismael Jusa, anadai zanzibar lazima irudishiwe sovereignty yake iliyopotezwa, na huko zanzibar ni vyama vyote vikuu viwiili CUF na CCM wanalipigania ilo. My take: je CCM na CUF...
  3. P

    Changudoa na Hakimu

    Hakimu. Wewe binti uligundua kuwa umefanyiwa kitendo hicho cha kubakwa baada yao muda gani? Changudoa., niligundua tu baada ya bank taller kuniambia cheque niliyotaka kudeposit ni fake.
  4. P

    Mlevi na fridge

    Jamaa mmoja mlevi alikuwa na mazoea ya kurudi home usiku sana, siku moja karudi mishale ya saa tisa usiku.maongez kati yake na mkewe yalikuwa hivi Mlevi,.Dear, have you put automatic bulb in the toilet? Wife.No its the same bulb , ordinary one. Mlevi.., No when I open the door it swich on...
  5. P

    Mwanasheria na mkewe

    Jamaa mmoja mwanasheria alikuwa na kimada, siku moja wakati anatoka kazini kampakiza kimada kwenye gari yake wakafanya mapenzi, baada ya mambo yao, Demu akasahau chupi yake kwenye gari, jamaa kufika home mkewe kampomea vizuri na alipofungua mlango wa nyuma kaikuta chupi, kakasirika kaichukua...
Back
Top Bottom