Mwanasheria na mkewe

Pulpitis

Senior Member
Jun 24, 2012
116
26
Jamaa mmoja mwanasheria alikuwa na kimada, siku moja wakati anatoka kazini kampakiza kimada kwenye gari yake wakafanya mapenzi, baada ya mambo yao, Demu akasahau chupi yake kwenye gari, jamaa kufika home mkewe kampomea vizuri na alipofungua mlango wa nyuma kaikuta chupi, kakasirika kaichukua chupi kaichanachana uku akimshutumu mme wake kwa umalaya,
Mwanasheria kuona ngoma nzito kamfuata mkewe akamwambia , you have destroyed the evidence for my client on the Rape case., that case I could get alot of millions.
Wife. Ooh very sorry dear.shit
 
hahahahahahahhahahahahhahahhahahhahahhahahahahahahhahahahhahahahhahahhahahahhah!!!.!!!!!!!!!!!!!!!..........i like it.
 
Kwenye gari? Kuna watu wanaofanya hizo mambo kwenye magari mpaka sasa? Aibu kwao!
 
Jamaa mmoja mwanasheria alikuwa na kimada, siku moja wakati anatoka kazini kampakiza kimada kwenye gari yake wakafanya mapenzi, baada ya mambo yao, Demu akasahau chupi yake kwenye gari, jamaa kufika home mkewe kampomea vizuri na alipofungua mlango wa nyuma kaikuta chupi, kakasirika kaichukua chupi kaichanachana uku akimshutumu mme wake kwa umalaya,
Mwanasheria kuona ngoma nzito kamfuata mkewe akamwambia , you have destroyed the evidence for my client on the Rape case., that case I could get alot of millions.
Wife. Ooh very sorry dear.shit

unatisha, angekuwa ni mwalimu angejiteaje?
 
Dah! Umenikumbusha mkasa wa jamaa yangu ambaye mywife wake alikuta kondom mpya kwenye koti wakati akitaka kufua. Jamaa alipoulizwa juu ya uwepo wa kondom hizo alijitetea kwamba walipewa kwenye semina ya UKIMWI kazini kwao, watu bwana!
 
Back
Top Bottom