Ismael Jusa na Zanzibar huru, ndani ya ccn, inside African

Pulpitis

Senior Member
Jun 24, 2012
116
26
Wadau leo katika kipindia cha inside Africa kwenye cnn tv, walikuwa zanzibar, mmoja wa watu waliofanyiwa interview ni Ismael Jusa, anadai zanzibar lazima irudishiwe sovereignty yake iliyopotezwa, na huko zanzibar ni vyama vyote vikuu viwiili CUF na CCM wanalipigania ilo.
My take: je CCM na CUF uku bara ni tofauti na zile za Zanzibar? Mbona wao msimamo wao ni tofauti na wale wa zanzibar kama alivyosema Jusa leo cnn?
 
Back
Top Bottom