Bima kwa Wanafunzi
Overview
NHIF offers health insurance services to students of higher or any other learning institutions. A student who is a member of NHIF will access medical services with his/her card at any health facility certified by the Fund throughout Tanzania.
Students with NHIF...
Mbona naona kama kuna watu wanakichukia sana hiki chuo? Halafu hata wenye chuo hawajitetei. Kuna harufu ya kuwa haya mambo yote ni kweli. Tatizo ni JF tu. Kama haya mambo ni kweli, chuo kitatokaje humo. Hiki chuo kina heshima sana.
Summarise kidogo, nilisoma nikasinzia. Halafu Hivi tatizo ni mtu mmoja au jamii nzima ya taasisi hiyo. Mbona wenzenu kama ATC na NIT wanapendeza kila kukicha. Ila jamaa naye ni Nunda, uchafu huu?
Hawa wanafunzi wanaliwa sana na kunguni? Sijui unawasemea hao? Tena sasa maabara hazipo, na hata zile za computer za professor Kondoro zimekufa. Wanafunzi wanalia.
Utafiti unaonyesha 99% ya haya ni kweli. Ila kuna watu kama watatu hivi ni maswaiba wake sana, na wote amewapa nafasi kubwa kuliko uwezo wao, hao hawaelewanani na wenzao.
Tena ngoja nitafiti zaidi, maana naona hata vyou kama NIT sasa vimeshaipiku DIT ya toka 1958. Nakule kuna kiongozi ambaya ni tunda la DIT. Huyu wa kutoka huko kwao, naona kama anataka kuua hicho chuo.
Hawajui kwamba mabaya hayana macho? wote tutaumia. Wakinyima misaada ya elimu, watoto wetu wataumia na sisi wazazi tutaumia. Ndio maana tunahitaji sana kujua maana ya uzalendo.
Tatizo ni akili ndogo kujaribu kuongea na akili kubwa. Nikulize swali dogo tu; umeshawahoji hao viongozi wa hizo taasisi za wafanyakazi au umewaza mabo yako ya nyumbani? Kwa taarifa wanaobezwa zaidi na huyo beberu ni hao hao viongozi. Huyu mtu hafai kabisa, tuliongea na hao viongozi na kugundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.