Search results

  1. Martoism

    Vincent Nyerere kuunguruma Isimani

    Mbunge wa Musoma Mjini mh , Nyerere anatarajiwa kufanya mikutano kwa siku mbili mfululizo jimbo la Isimani Mkoani Iringa. Mikutano hiyo itafanyika tar.11 na 12 Januari 2015 . Pamoja na mambo mengine mikutano hiyo inabeba ujumbe wa kuwashukuru wananchi kwa kuichagua CHADEMA na kutoa...
  2. Martoism

    House for sale

    Location: KIJITONYAMA area: 4,000 sq feet Plot: 35 Block: 44 Price : 350,000,000/= negotiable Call: 0767-180-701
  3. Martoism

    HOUSE FOR SALE 400ml.

    0717180704 call now !!!!! SINZA , Dar-es-Salaam
  4. Martoism

    A HOUSE FOR SALE 400ml:

    LOCATED AT SINZA-AFRIKA SANA call.0717180704/0767180701
  5. Martoism

    NYUMBA INAUZWA 400ml:

    Iko sinza-afrika sana. Plot ni kubwa sana haina dalali; 0767180701/0717180704.
  6. Martoism

    F.F.U wametapakaa kila kona ya manispaa ya Iringa Mjini!

    Huwezi amini kinachoendelea hivi sasa katika viunga vya manispaa ya Iringa mjini, Askari wasio na idadi wenye silaha nzito pamoja na magari yaliyofungwa vitaambaa vyekundu kuashiria hali ya hatari yanarandaranda kutisha wananchi, aidha wasifanye maandamano, fujo au wasihudhurie kabisa mkutano...
  7. Martoism

    M4C kutua Iringa mjini kesho

    Ni saa chache zimebaki kabla ya wananchi wa manispaa ya Iringa mjini na viunga yake kukutana na makamanda, wabunge na viongozi wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA katika mkutano wa hadhara utakaofanyika uwanja wa mwembetogwa baada ya maandamano ya takribani km 2. Katika...
  8. Martoism

    Mkapa kukataa uteuzi wa Kikwete kurudi Igunga?

    Nianze kwa kutoa shukrani kwa mhimili wa utoaji haki nchini "The Judiciary" kwa kuwahuisha watanzani wanyonge jana kama chombo hiki kitajikita kwenye misingi yake kama "Intergrity, Impartiality and Independent of the court". Rais Kikwete ambaye ni Amiri Jeshi mkuu na mwenyekiti wa CCM kwa...
  9. Martoism

    Ndugai hajaeleweka kwa watanzania

    Mh, Rev. Peter Simon Msigwa mbunge wa Iringa mjini hivi majuzi kwa umahiri na umakini mkubwa akiwasilisha maoni ya kambi rasmi ya upinzani bungeni kwenye hotuba ya wizara ya maliasili na utalii alieleza kwa mifano hai jinsi serikali ya awamu ya nne almaarufu "Magambaz government" ilivyoshindwa...
  10. Martoism

    Wabunge ccm iringa waingiwa kiwewe!

    Ni saa chache tu zimepita tangu Mkt wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani Bungeni ambaye pia ni mbunge wa hai Mh, Freeman Mbowe kuutangazia uma wa watanzania kuwa atatua mkoani Iringa na makamanda wa vuguvugu la mabadiliko almaarufu "Movement for Change M4C" kuwatia nuru ya mapambazuko na...
  11. Martoism

    Wabunge CCM iringa waingiwa kiwewe!

    Ni saa chache tu zimepita tangu Mkt wa Taifa Chadema na Kiongozi wa upinzani Bungeni ambaye pia ni mbunge wa hai Mh, Freeman Mbowe kuutangazia uma wa watanzania kuwa atatua mkoani Iringa na makamanda wa vuguvugu la mabadiliko almaarufu "Movement for Change M4C" kuwatia nuru ya mapambazuko na...
Back
Top Bottom