Search results

  1. 1

    Nahitaji nyumba ya kununua Dodoma iwe ndani ya eneo la meta za mraba 1000 kwenda juu

    Waugwana habari za majukumu. Ninauhitaji wa nyumba kama nilivyoeleza hapo kwenye kichwa cha habari. Lakini kuna sifa ya ziada ambayo hiyo ndo itakuwa kivutio kwa Mimi kufanya manunuzi. Sifa hiyo ni nyumba hiyo wakati tunafanya biashara iwe inaendelea kuingiza pesa { iwe na mpangaji ama...
  2. 1

    Wenye taaluma ya Habari naomba mnielimishe

    Naomba kujua kutoka kwa wanahabari wetu. Sijawahi kuona muendelezo wa yale yanayotokea katika vile vikao vinavyokuwa vikifanywa na watu waliopewa dhamana ya uongozi miongoni mwetu. Je huwa kunaugumu labda wa kufuatilia zaidi yale yaliyojiri na kuleta mrejesho wake? Kwa mfano mtu anakuwa na...
  3. 1

    Namalizaje tatizo hili ninapokuwa net

    Karibu wiki ya pili sasa napata shida hii. Kwa mfano nakuwa net nipo naperuz JF nikitaka kufungua tab mpya inatokea site nyingine kabisa mfano nakuta imefunguka site ya alibaba, flirchi, Meet local singles. Inanikera sana hii naomba msaada namna ya kudhibiti jambo hili, napata tatizo hili...
  4. 1

    Issue ya EFD machines na wafanyabiashara lilimalizwa vipi?

    Hi issue ilisumbua kwa vipindi tofauti kuanzi mwaka 2014-2015 na tukiwa kama jamii tuliguswa pia na matokeo ya mgogoro huo. Mimi binafsi niliwaelewa walichokuwa wanagomea wafanya biashara wakitetewa na viongozi wao. Namkumbuka Mr. Minja aliwapigania sana wanachama wake. Issue hii ni kama TRA...
  5. 1

    Special thread krismasi ya 2015

    Wadau nimeleta Uzi huu mahususi kwa members kutakiana heri katika sikukuu tajwa. Mimi nawawish wafuatao wamegusa maisha yangu kwa namna moja ama nyingine -Tized -King'asti -Money stunna -Nyani ngabu -Lara 1 -Matola -The boss -Mizabwa -Even salt kama kuna makosa katika...
  6. 1

    Mbinu ipi itumike kumsaidia mtu asimame mwenyewe kiuchumi?

    Mtu anakufuata anaomba msaada wa kujikwamua kiuchumi. Unamuuliza unao uwezo wa kufanya nini wewe mwenyewe tena vizuri. Anajibu chochote. Nalikataa hilo jibu namwambia chochote si jibu sahihi. Najaribu kumpatia vitu vinavyoweza kumpa mawazo mapya kisha naondoka, nikimfuatilia yuko vilevile...
  7. 1

    Kwa wateja wa Zanzibar Insurance na Insurance entities zingine tupeane uzoefu

    Wanabodi, Nina uhitaji wa kupewa shule kuhusu mambo ya Motor vehicle Insurance hasa hasa toka kwa wateja wa Zanzibar Insurance na Insurance zingine pia. Shule ninayoitafuta hasa ni: 1. Vitu gani baada ya kujiunga ulikuja tambua haviko sawa na labda ungejua kabla ungetafuta company nyingine...
  8. 1

    Tukishindwa kufanya maamuzi Oktoba 2015, tutapata shida zaidi ya hii

    Kwa wenye Luninga nadhani tumekuwa tukishuhudia yote yanayoendelea ndani ya Bunge letu. Kiongozi wa kuongoza bunge ( Spika ) tumeona anavyotumia uwezo wake alionao katika kufanya maamuzi ya hovyo. Nahamasisha wapenda mabadiliko chonde chonde tujitahidi kujiandikisha katika daftari la kudumu...
  9. 1

    Story za Diva toka MMU huwa anafuata utaratibu upi?

    Mara mbili sasa katika mwezi huu wa June 2015 nimeshamsikia akisimulia story ambazo Mimi nakuwa nimeshaziona kwenye jukwaa hili. Swali langu je huwa anawasiliana na muanzisha Uzi? Au anawasiliana na mods wa jukwaa husika? Kama yupo anayefahamu atujuze Pia ukimfuatilia kwenye mazungumzo yake...
  10. 1

    Lwambano pamoja na Uongozi wa Clouds Media chukueni hatua

    Mimi ni mdau wa michezo kwa mbaali lakini nafuatilia mara kwa mara vipindi vya michezo hasa hasa Sport Extra,Sport Bar na Sport roundup vyote toka Clouds Media. Sasa ninapendekezo kwa Ndg. Alex Lwambano na Uongozi wao wafanye mpango kipindi chao kinachorushwa kila jumapili kuanzia saa Saba...
  11. 1

    Udom PGDE Chukulia sala hii ni yako binafsi ninakuombea

    Ndg nakutakia mwanzo mzuri wa mitihani yako utakayoianza leo na mwisho mzuri pia,upako wa Alfa ukaanze na kudumu nawe mpaka pale upako wa Omega utakapokupokea na kwenda kumaliza nawe. Damu ya Yesu naiachilia juu yako ikakulinde katika Roho,Mwili na Nafsi na Roho Saba za Mungu ziwe nawe daima...
  12. 1

    Kwa baadhi ya vijana wa kiume kuvaa hereni, Nini tafsiri yake?

    Nafikiri sasa kama tunayaacha mbali sana maadili yetu,na tunaiga hata ambavyo hatuelewi nini maana yake. Ntaeleza kidogo nilichowahi kukisikia kuhusu muvaaji wa hereni kwa vijana wa Marekani lakini sikio moja. Wanasema wao huvaa sikio moja hereni hasa Black Americans kuonesha kukubali michango...
  13. 1

    Kuandika malengo kuna matokeo mazuri(nimefikia 85%)

    Nimepata nafasi ya kupitia diary yangu,nikakuta nimeandika malengo matatu. 1St Goal (30/09/2013) Nataka kuwa na pesa kiasi cha 3 M kabla ya 26/02/2014.Wakati huo sikuwa hata na shilingi moja,lakini nilijiuliza nazipataje?Nikabuni njia kadha wa kadha 2nd Goal (30/09/2013 ) Kununua vitu...
  14. 1

    Semina ya neno la mungu na mwl. Mwakasege arusha leo tar.4 jan. 2015

    Heri ya Mwaka Mpya 2015 wadau. Kwa wafuatiliaji wa Semina za Mwl. Christopher Mwakasege (Mwl wa Neno la wakati) anaanza Semina leo tar. 4 Jan 2015 mpaka tar.11 Jan 2015 ,Arusha katika viwanja vya Reli. Kwa wale wanaoweza kufika wanaweza kusogea pale muda ni kuanzia saa tisa Kwa wale...
  15. 1

    Kwa Mkazi aliyeko KIBAIGWA-mahali maarufu palipo Soko la Kimataifa la Mahindi

    Natamani kupata habari za soko kwa ajili ya bidhaa za nafaka kama vile Mchele,Maharagwe na jamii zake. Natamani kujua pia upatikanaji wa vitu kama frame,gharama za pango na fursa zinazofanana na hizi. Aksanteni
  16. 1

    Tips for a Happy Marriage

    Baada ya kujikuta nakwama mara kwa mara niliamua kutenga muda na kupekua huku na kule halafu nikakuta kumbe hatuna baadhi ya vitu vinavyotuongoza katika njia tunayoielekea.Nimependa kuwashirikisha kidogo baadhi ya niliyopata karibuni nanyi mnaweza pata ufumbuzi kama mlikuwa mnalegelega katika...
  17. 1

    Walikuja kwa sura ya dili la biasharakumbe matapeli,kaa chonjo!!!!!

    Wanajamvi namshukuru Mungu wangu aliyehai ninayemuabudu kwa kuninusuru na utapeli uliokuwa ukisukwa juu yangu. Hatari sana,ni kitu ya mchana huu.Kanipigia mtu kupokea kanisalimia kwa kunichangamkia sanaaaa,mpaka nikaona hii sasa noma kumuuliza nani sijui atajisikiaje.Nikamvutia kasi baada ya...
  18. 1

    Kwa wale akina dada waishio tabata kimanga nafasi mbili za uhudumu wa cafe

    Napenda kutangaza nafasi mbili za uhudumu wa cafe kwa mabinti walioko maeneo ya Tabata Kimanga. Lengo ni kupunguza gharama za usafiri na kwenda na muda ktk kutekeleza majukumu ya kila siku kazini.Umri naomba isiwe chini ya miaka ishirini.Maswali,mazungumzo vinakaribishwa. Kwa aliyetayari...
  19. 1

    Tunatafuta ajira, tunapata halafu nini kinafuata?

    Watu wangu wa karibu naona wanavyokomaa kuhaha katika kutafuta kazi mpya baada ya kuona alipo hapamlipi.Lengo la uzi huu linawalenga wale wanaotaka kuacha kazi A ktk kijiji Nakatunguru na kutaka kwenda kufanya kazi A kijiji Ngareroo.Sina tatizo na wanaoacha kazi A na kutaka kwenda kufanya kazi...
  20. 1

    Kilimanjaro hongereni

    Hongera naitoa baada ya Ripoti ya Sensa ya Watu na Makazi kuhusu mgawanyo wa watu kwa umri na jinsi unaonyesha kuwa Mkoa wa Kilimanjaro unaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya wazee wa zaidi ya miaka 65 ikiwa ni asilimia ya ya wazee wote nchini. Ripoti hiyo ya 2012 ,iliyoandaliwa na Ofisi ya...
Back
Top Bottom