Search results

  1. NDAMANDOO

    Faida iwe asilimia ngapi ili biashara iwe yenye mantiki?

    Selling Price = Direct Cost + Indirect Cost + Profit margin 1. Direct Cost zipo wazi zinajulikana kilahisi 2. Indirect cost (overhead costs) hapa ndio mtihani 3. Profit margin hii inategemea na policy yako lakini pia aina ya bidhaa kama ina ushindani sokoni au la. Pia kama bidhaa yako ni...
  2. NDAMANDOO

    Msaada: Nifanyaje kuhusu matatizo haya ya gari?

    Umepata madini ya kutosha. Elimu haina mwisho kwa hiyo mkuu next time chukua tahadhari
  3. NDAMANDOO

    Vifo vingi vinavyohusisha RADI utokea vijijini ni kwann?

    Majengo marefu yaliyopo mjini yana thunderstorm arrester hivyo husaidia ku-nuetralize effect ya thunderstorm wakati vijiji hakuna hizo thunderstorm arrester ndio maana unaona matukio mengi ya radi yapo vijijini.
  4. NDAMANDOO

    Mukandala: UDSM haijaathirika kwa teuzi za Rais kwa wanataaluma wake

    Prof Justine Ntalikwa alihama UDSM tangu 2009 alikuwa UDOM au Justine Ntalikwa upi unayemuongelea hapa?
  5. NDAMANDOO

    Unawezaje kuvumilia hii?

    Nashukuru kwa kuutambua kuwa ni authorized mchepuko in short ni mke halali. Ukikaa mjini sana unaweza kufikiri kuwa hawezekani. Lakini ukitoka nje ya mjini ndio utakuta inawezekana sana tena huo mchepuko ndio utakuwa unasaidia bi mkubwa kupika, kuchota maji na huduma zingine na maisha yanasonga...
  6. NDAMANDOO

    Yajue maajabu ya chumvi katika utengenezaji wake

    Kwa kitaalam ulichoelezea ulilenga Salt extraction by evaporation method. Si kweli kwamba maji bahari pekee ndio yanatoa chumvi bali maji yeyote yenye madini ya chumvi Si kweli kwamba maji huganda na kuwa chumvi bali evaporation inapo-take place maji hupungua na concetretion ya chumvi...
  7. NDAMANDOO

    DED wa Mkinga kaonewa, Rais fanya uchunguzi ujiridhishe

    Afande, katika Mkoa wa Morogoro kuna tukio la Kutishia kuua kwa kutumia silaha-Bastola KWR/IR/412/2016*Tukio hilo LIMETOKEA Mnamo 15-10-2016 muda kama 16:30 hrs huko eneo la Mkambarani,,, barabara ya Morogoro-Dar es Salaam,Manispaa na mkoa wa Morogoro, mtu mmoja aitwaye EMMANUEL...
  8. NDAMANDOO

    Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

    Kushusha au kupandisha bendera binafsi ni uamuzi wako tu ukitaka hata wakati wa kula shusha nusu mlingoti na ukienda chooni shusha kabisa ni wewe tu. kumbuka hiyo unayoiita kuwa bendera binafsi kwa wengine ni daso kama yalivyo madaso mengi tu hakina maana yeyote.
  9. NDAMANDOO

    Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

    Hakuna pingamizi la kumiliki bendera binafsi.
  10. NDAMANDOO

    Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

    Kwani Dunia ya leo haina giza?. Hata USA hushusha bendera yao sehem isiyo na mwanga wa kuwezesha kuona
  11. NDAMANDOO

    Kwanini tunashusha bendera yetu ya Taifa?

    Moja ya sababu ni giza. Bendera ni ishara na alama ya uwepo wa ofisi na watendaji wa serikali. Shariti ionekane kwa mbali na bila kizuizi chochote. Hivyo basi kanuni za kupandisha bendera zinaeleza wazi kuwa lazima ipandishwe wakati wa mwanga ili iweze kuonekana vizuri.
  12. NDAMANDOO

    Agizo la Magufuli laibua utata

    UMEELEZA VIZURI ILA UMESAHAU KUWA KUNA EXAMPTION KATIKA MASWALA YA PESA NA AFYA KAPITIE UPYA REGULATION ZA MAJESHI UTAFAHAM VIZURI VITU HIVYO
  13. NDAMANDOO

    Yupo wapi mwanaharakati huyu wa UDSM?

    Tena nakumbuka na kikauli chake kimoja alisema wakati fulani "AKIFA MWILI WAKE UZIKWE UTAWALA" wataalam wa mambo wakaamua kumzika palepale utawala kabla ya kifo chake tena na jeneza lilelile la HESLB.
  14. NDAMANDOO

    Tetemeko la Ardhi Kagera: Serikali imeonesha udhaifu mkubwa sana

    Ni jeshi lipi unaloliongelea ? kuna jeshi la polisi linahusu kulinda usalama raia na mali zake, jeshi la wananchi, jeshi la magereza, jeshi la zimamoto, jeshi la uhamiaji. Ni lipi uliomaanisha? na je unajua taratibu za kushilikisha majeshi yetu kwenye majanga?
  15. NDAMANDOO

    MSAADA WA HARAKA SANA PLZ

    Angalia kwenye tovuti yao utapata maelezo sahihi na lini zinaanza.
  16. NDAMANDOO

    Nini maana ya kupewa barua ya kujieleza na charge sheet

    Mkuu pitia vizuri sheria za kazi zimetoa tafasiri nzuri maana ya utoro na masharti ya likizo ya ugonjwa sheria ipo wazi tu. na kama ulikataaliwa ruhusa ulifanya jitihada gani zingine au je uliripoti kwenye chama chochote cha wafanyakazi? na je ripoti ya hospitali ilikupa ED?
  17. NDAMANDOO

    Wasukuma na utamaduni wa kutakasa mapacha

    Mkuu ulichosema sio mila ya Wanyantuzu wa bariadi bali ni wanyamweli kutoka kahama. Alivyosema Ngabu ndio sahihi hii mila haipo Bariadi. Tumekulia huko temelelewa hivyo. Mwandishi upo sahihi kwa wasukuma wa Kahama na Kwimba lakini sio Bariadi. Nimekuja kishuhudia hii mila mara baada ya dada...
  18. NDAMANDOO

    Kupaua nyumba (Makadirio ya gharama)

    Wakuu naomba kujua gharama za fundi wa kuweka Gypsum boards kwenye nyumba yenye ukubwa wa 188 square meter.
Back
Top Bottom