Search results

  1. Y

    Mbunge wetu J. Mnyika uko wapi?wakazi wako wa ubungo hatuna maji

    Sasahivi inaenda wiki ya pili hatuna maji na mpaka sasa hatujaambiwa tatizo nini, tunakuomba mbunge wetu ulifatilie maana tunapata taabu kwa kuuzima maji si salama na bei kwasasa ni mia 5 kwa dumu.
  2. Y

    Meli ya MV Skagit yazama

    Meli iliyo zama ni SKAGIT sio SEAGULL ila zote zipo kampuni moja ya Sea Transport. Offcoz leo pale bandari iyo meli ilikuwa na abiria 200 na watoto wapato 30. Wakati inaondoka hapa Dar mida sa 6 mchana, upepo ulikuwa mkali sana katika pwani yote ya TZ. Ilipo kuwa inakaribia ZNZ iyo meli iliziwa...
  3. Y

    Nape anapotoa maagizo kwa viongozi wa serikali, anasimama kama kiongozi gani?

    Nimemsikia Nape kwenye taarifa ya habari ya ITV akitoa maagizo kwa mkuu wa Iranga kushughulikia mala moja matatizo ya wafanya biashara wadogo wa mbao wa wilaya ya Mufindi baada ya wafanya biashara kumueleza matatizo wanayo yapata katika biashara yao ya mbao. Sasa nimeshindwa kumuelewa anapompa...
  4. Y

    Sheikh Ponda yuko sahihi

    Binafsi kipengele cha dini kiwekwe au kisiwekwe sioni tatizo. Ila anae taka kiwekwe lazima atoe sababu za kueleka ili watoa maamuzi wamuelewe vizuri. Humuimu wa kujua idadi ya waislamu na wakristo haupo katika kupanga maendeleo ya nchi usika ususa Tanzania maana si nchi ya kidini. Waslamu wana...
  5. Y

    Fomu za viwanja mabwepande kutolewa leo lakini ni nutata mtupu

    HALMASHAURI ya Manispaa ya Kinondoni leo inaanza kutoa fomu kwa ajili ya upimaji wa viwanja katika eneo la Mabwepande huku ikiwataka wananchi kujitokeza wauziwe. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na manispaa hiyo kupitia kitengo chake cha mawasiliano, jumla ya viwanja 247 vinatarajiwa kupimwa...
  6. Y

    Basil Mramba na Daniel Yona kesi yao imeishaje?

    Ndugu zangu wana JF ivi wajamaa kesi yao imeishaje? Maana naona kama mambo yale yale....
  7. Y

    Wabunge wa mkoa wa DSM kumbana mkurungenzi mkuu wa NHC (Nehemia Msechu)

    bdo: ndio ayo ninayo ongelea, yalio uzwa ni aya yanayo jengwa, yazamani bado hayajauzwa
  8. Y

    Wabunge wa mkoa wa DSM kumbana mkurungenzi mkuu wa NHC (Nehemia Msechu)

    Kwa izi nyumba zinazo jengwa sasahv zimeshaisha na hataivyo bei zake wakazi wa ubungo walichemsha maana appartment moja ilikuwa inauzwa aprox 68M bila VAT. Nyumba ambazo wakazi wa ubungo waliomba wauziwe ni izi za zamani
  9. Y

    Wabunge wa mkoa wa DSM kumbana mkurungenzi mkuu wa NHC (Nehemia Msechu)

    Sio nyumba izi zinazo jengwa sasa, nyumba ambazo wakazi wa ubungo wanataka wauziwe ni izi za zamani (magorofa) amboza bunge walipisha tangu 2005.
  10. Y

    Wabunge wa mkoa wa DSM kumbana mkurungenzi mkuu wa NHC (Nehemia Msechu)

    Mbunge wa Ubungo na Diwani wa kata ya Ubungo walikuwa nazo taharifa kabla ujenzi haujaanza na waliahidi wangelifuatilia.
  11. Y

    Wabunge wa mkoa wa DSM kumbana mkurungenzi mkuu wa NHC (Nehemia Msechu)

    Mbunge wa Ubungo na Diwani wa kata ya Ubungo walikuwa nazo taharifa kabla ujenzi haujaanza na waliahidi wangelifuatilia.
  12. Y

    Wabunge wa mkoa wa DSM kumbana mkurungenzi mkuu wa NHC (Nehemia Msechu)

    Leo wabunge wa mkoa wa DSM pamoja na mkurugenze mkuu wa NHC watafanya mkutano na wakazi wa Ubungo NHC. Wabunge hoa watataka kujua ujenzi unao endelea hapa ubungo kama umefata taratibu zote za ujenzi maana sasahivi ukipita katikati ya haya magorofa ni hatari tupu, vile vile wabunge watataka...
  13. Y

    Natangaza rasmi kuwa nipo upande wa Edward Lowasa

    Katika umri wangu huu, mawaziri wakuu ambao nawakumbuka kiutendaji ni Sumai, Lowasa na sasa Pinda. Kati ya hawa, Lowasa peke yake ndie alie kuwa waziri mkuu kamili. Alikuwa ana uwezo wa kuamua jambo ili mradi mambo yaende na angekuwa mpaka leo ni waziri mkuu, tungekuwa mbali
Back
Top Bottom