Naomba maelezo kwa wale wa udsm je wale waliokuwa washafika walochukua education kwa art subject je wamepata % 50 kama bodi walivyosema au wameongeza % ?
Jaman naomba munisaidie mimi nimechaguliwa udom bachelor of education in special needs nimepatiwa mkopo sh mil 3 laki 2 alfu 27 na mia 5. Nimeshalipa direct cost lakin nimeshindwa kulipa kiwango cha fee kwa kuwa sijajua Asilimia ya mkopo ambayo nitalipiwa na bodi. Ada yangu kwa mwaka ni laki 7
Ahsante mkuu uko sahihi na nashangazwa sana kuitaja zanzibar. Hivi jamani kuna chuo kinaitwa zanzibar? Mtoa mada unavuta bangi chooni then unakuja kwenye jamvi kunanga vyuo. Pumbaf zako huna kazi kanywe kahawa
Ok makole na je vp kuhusu viwanja vya mpira, kipo kimoja kwa chuo kizima au kila college na uwanja wake coz sisi ni wachezaji mashuhuri na ili masomo yawe yanapanda lazima tuwe tunapata zoez la football
Dah hoja yako ya kulipa kisasi inatoa tafsiri kubwa kiupande wangu. Ina maana wakati unajiunga hapo chuo lengo la mwanzo lilikuwa ni kupata warembo na la pili ndo kusoma. Me nilizani utalipiza kisasi labda aliwahi tokea kati ya hao mapedeshee kukuchania vifaa vyako vya masomo kumbe unalipiza...
Bodi itatoa mkopo kwa zile kozi wanazohitaji na nazan kabla kutaka kuomba mkopo bodi ilishauri mtu aangalie priority na non priority. Na kuhusu swali na kuzaa ni bora mtu apange uzazi wake kulingana na kipato chake na si kutegemea kila mtoto ana riski yake. But kwa upande mwengine wapo pia...
Na kwenye tangazo lao wamesema wiki ya pili october watu wawe wameshafika. So ina maana kuanzia tarehe 8 mpaka 14 au ni vp? Na kwenye accomodation wameweka siku 245 kwa cost ya sh 122500 so ina maana cost hii ni kwa mwaka mzima wa masomo au ni vp coz siku 245 ni sawa na miez 8 kama sijakosea coz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.