Search results

  1. 2

    Carina si 1.8l

    wataalamu naomba kujua zaidi kuhusu gari aina ya carina si 1.8l matatizo yake garama za spare uwezo wake matumizi ya mafuta mjini na highway. maelezo ya ziada...
  2. 2

    Serikali ya china imeharibu tani 6 za pembe za ndovu leo, kutuma ujumbe duniania kuhusu ujangili

    Serikali ya china imeteketeza tani 6 za pembe za ndovu kuonyesha kuwa inapinga vikali biashara hiyo haramu duniani hatua hiyo imefuatia miezi miwili baada ya serikali ya marekani kuteketeza kiasi karibu sawa na hicho cha hazina yake ya pembe za ndovu, china ndio nchi yenye hazina kubwa ya pembe...
  3. 2

    Uwekezaji katika shamba la kahawa la tchibo estate moshi na athari ya kukauka kwa vyanzo vya maji

    Uwekezaji mkubwa siku zote ni jambo zuri lakini wakati mwingine yanapotokea mambo ambayo si sawa basi watanzania tunakila sababu ya kuzungumza na kuzuia uharibifu unaoweza kuleta madhara makubwa. Zamani umwagiliaji wa kahawa uliendeshwa kwa njia ya umwagilia kwa kutumia maji ya mito na mifereji...
  4. 2

    Wataalamu nisaidieni viwanja vya ukubwa huu kwa ujenzi wa nyumba

    wanajf sikuhizi maeneo mbalimbali nchini viwanja vinauzwa si tena kama zamani unapata shamba, nusu heka etc, kiwanja hiki kinaukubwa wa mita 15 kwa mita 20, wataalamu wa ujenzi, niambieni hiki kinafaa kujenga nyumba ya familia, yani nyumba isiyo ghorofa yenye vyumba vitatu vya kulala. mwazo...
  5. 2

    Msaada wa serikali ya China wa magari ya kifahari ya Limousine, dhihaka kwa watanzania maskini

    Serikali ya China imeipa serikali ya Tanzania magari ya kifahari aina ya Limousine, magari madogo na mabasi yenye choo na chumba cha mikutano kwaa jili ya viongozi. Msaada huo thamani yake ni mabilioni ya shilingi. Kwa wenye kutafakari mambo kwa kina huu ufadhili ni dhihaka kwa wananchi wa...
  6. 2

    Ufadhili wa serikali ya china wa magari ya kifahari ya lemozin, dhihaka kwa watanzania maskini

    Serikali ya china imeipa serikali ya tanzania magari ya kifahari ya lemozin, magari madogo na mabasi yenye choo na chumba cha mikutano kwaa jili ya viongozi, msaada huo thamani yake ni mabilioni ya shilingi. Kwa wenye kutafakari mambo kwa kina huu ufadhili ni dhihaka kwa wananchi wa tanzania na...
  7. 2

    Udhaifu wa vyombo vya habari tanzania na uandishi na yaliyotokea kwenye operesheni tokomeza

    Ni ukweli usiopingika kuwa vyombo vya habari na waandishi wake havikufanya kazi kuweza kusaidia na kufichua mateso waliyoyapata wenzetu, namaanisha watanzania wenzetu.Laiti vyombo hivi vingekuwa vinafanya kazi yao kama inavyopaswa basi leo hii taifa letu na uongozi uliopo madarakani...
  8. 2

    Msaada:galaxy tab 7 plus.

    wakuu hii kitu p6200 inatumia andoid os 3.2, lakini natamani sana iwe na os 4 + je hii inawezekana kufanya upgrade.?
  9. 2

    Naomba msaada wa IPHONE 3gs firm ware 06.15.00 jailbroken

    Wakuu nimekuwa nikiipenda sana na kuitumia simu yangu katika mambo mengi ya proffesion yangu lakini sasa nahitaji kuupgrade... Nimejaribu imeshindikana na kuwahi kulock kabisa. Wakuu mwenye msaada wa kujua vip naweza weka hata angalau ios 5 achilia mbali 6 Kwa sasa simu hii imeshindwa kukidhi...
Back
Top Bottom