Search results

  1. nxon

    Ninunue gari gani kati ya Toyota IST na Toyota Premio?

    gari yangu ya kwanza ilikuwa IST 1490cc nikauza nimehamia kwenye PREMIO 1790cc gari ipo poa sana kitu ambacho nashangaa 1790cc iko na fuel efficient kuliko IST ya 1490cc najiuliza au kwasababu gari ni mpya bado
  2. nxon

    TiGo nivushe mmeiba pesa yangu

    Habari ! Naitwa Nickson Kimambo naishi Morogoro mjini ni mtumiaji wa mtandao wa TIGO TANZANIA. no zangu ni 0717693927 Jana tarehe 26 december 2020 nilijiunga na kifurushi cha internet cha wiki kwa tsh 3000/- kwa njia ya tigo pesa, baada ya hapo nikaletewa sms kuwa kifurushi changu cha internet...
  3. nxon

    Wale wa Apple/iPhone nawasalimu jamani, maisha yanakwendaje uko offline?

    acha kudanganya watu vpn zipo kibao app store hapa natumia iphone na vpn
  4. nxon

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    kuna uvumi mwingine huku eti ni recorded nishachoka sasa
  5. nxon

    Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila

    mbona aliwauwa aliowachukia wengine kupigwa risasi
  6. nxon

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    adui mwombee njaa tu hata kama alikuwa shujaa
  7. nxon

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    huyo angel (malaika) atakuwa izraeli nn?
  8. nxon

    Baaadhi ya wafanyabiashara nchini wanahujumu taifa, kitengo cha elimu kwa mlipa kodi TRA fanyeni Kazi ya ziada.

    mtoa hoja baada ya huo utafiti wa awali pia ungefanya utafiti uone ni kwann wanakwepa kodi na ungekuja na suluhu nini kifanyike hapo ungesaidia sio kuja kutoa lawama tu.
  9. nxon

    Nini chanzo cha kuibuka magazeti yanayomsifu sana rais!?

    wenye mamlaka hawataki kusemwa vibaya
  10. nxon

    JamiiForums: Tumerejea baada ya kutoweka hewani kwa wiki 3

    JF imeanza kazi na mwigulu amecha kazi
  11. nxon

    Lipi chaguo sahihi kati ya Nokia 2 na Infinix note 4?

    Hapo sijaelewa mkuu mfano nataka google pixel 2 naweza kuagizaje?
  12. nxon

    Vijana tuna hali ngumu sana katika utawala huu wa awamu ya 5

    Yajayo yanafurahisha, upo tayari?
  13. nxon

    Njooni tuone kazi kubwa aliyofanya Mh. Rais Magufuli kwa kipindi kifupi tu

    Magu fundi bwana 1.5 trillion haina mahesabu kwa mwaka mmoja
  14. nxon

    Ushuhuda: Hivi ndivyo nilivyoshuhudia maandamano ya Kinondoni na jinsi watu walivyopigwa risasi

    msema kweli ni mpenzi wa Mungu in Magu voice
Back
Top Bottom