Search results

  1. O

    Mkakati wa Freeman Mbowe kugombea urais utaangamiza CHADEMA kama utaendelea anavojipanga

    Freeman Alkaeli Mbowe anaamini kuwa fursa ya CHADEMA kuchukua nchi ni 2015,hivyo ni fursa muhimu kwake kugombea urais kupitia CHARDEMA,ili afanikiwe ameamua kugombea tena uenyekiti wa CHADEMA mwakani ili ajiweke katika nafasi nzuri kinyume na kauli yake kuwa hatagombea uenyekiti tena. Ili...
  2. O

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Zitto kugombea urais wa nchi au rais wa kuomba na kupokea rushwa
  3. O

    Hali si swari mkutano wa CHADEMA kata ya Ndago (Singida); watu 2 wafariki

    chanzo ni nini? nini kinaendelea mpaka sasa? mkutano umefanyika au ulikuwa haujaanza? ulikuwa wa Chama gani? polisi wamefika au?kama wafika wamesaidia chochote? nini ilikuwa janenda kuu?
  4. O

    Utajiri wa Makamanda wa Jeshi la Polisi, CCM na Maafisa Upepelezi unatokana na nini?

    Wapendwa wana JF, Wapalelezi, makanda wa polisi wilaya, mikoa, na maofisi wengi wa jeshi la polisi wanaongoza kwa utajiri, utajiri wao unatokana na kazi ya kulinda uhalifu nchini,umefika muda wa kufanyaia uchunguzi na kuchua vyazo vya mali nyingi wanazomiliki makamanda wa vyombo vya dola kama...
  5. O

    Stephen Owawa ajipanga kugombea ubunge Rorya 2015

    Kama mtu anaweza tumpe moyo na kusema ukweli,mimi nakumbuka kuwa amekuwa akienda Rorya kila mara ila alichosema kuwa bado ni mapema kwa mtu anataka kuingia kwenye siasa za Rorya lazima ajipange kwanza,ni kweli alikuwa Anasaidia kampeni mgombea Ubunge wa CHADEMA martin Ochola Ndira,nakumbuka 2010...
  6. O

    Stephen Owawa ajipanga kugombea ubunge Rorya 2015

    Tehe tehe...nikimkumbuka huyu jamaa huwa nacheka sana.alijaribu kugombea uenyekiti wa faculty of commerce and management UDSM mwaka 2007 akashindwa..nilikuwa darasa moja mbele yake..kinachonifanya nimkumbuke ni jinsi alivyokuwa akitetemeka kwa woga wakati akizungumza mbele ya darasa...
  7. O

    Stephen Owawa ajipanga kugombea ubunge Rorya 2015

    Aliingia UDSM 2005 akafukuzwa,akarudi 2006 akisimamishwa 2007 baadae akarudi,2008 akasimamishwa mwezi moja,2009 akasimamishwa mwaka mzima wakarudi baada ya kumaliza kesi na kushinda serikali dhidi ya viongozi wa DARUSO,na amemaliza rasmi 2010 yeye na silinde,Machibya nakumbuka hayo machache...
  8. O

    Chama cha Madaktari Tz chawasilisha maombi UN ya ulinzi kwa viongozi wake

    UMOJA WA MADAKTARI (MAT) TANZANIA WAKIMBILIA UN KUOMBA ULINZI WA MAISHA YAO....... Download barua yao,wamtaja aliyehusika katika utekaji na kumtesa Dr.Ulimboka
  9. O

    Uvumilivu tuliyonao kuhusu madhila na ufedhuli tunaofanyiwa na serikali inatokana na nii?

    Uvumilivu wetu wa kuvimilia kuteswa,kuumizwa,kubezwa uku wanaotenda hayo wakiendeza unyama dhidi yetu unatokana na nini? uwezo wetu kama watanzania kuvumilia mateso nadhani ni makubwa kuliko raia wa nchi nyingine yoyote duniani. Mafuta yanaweza kukosekana tukavulia na baadae ukapata...
  10. O

    Mbunge Wa Rorya: Okambo Lameck Airo CV

    looooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo,poleni sana wanarorya
  11. O

    UHALISIA: Kilichomtokea Dr. Ulimboka mwanzo-mwisho...

    Serikali ya Kikwete imehusika na unyama huu wala hakuna namna ya kukwepa
  12. O

    Dr. Abdallah Omary Kigoda angepewa uwaziri wa fedha na uchumi

    Kigoda alisimamia kuuza nchi kwa kubinafsisha viwanda vyetu uku naye akifanikiwa kupata nae umiliki
  13. O

    Mh. January Makamba, Nakupongeza kwa hili

    Januari makamba alipata pesa za wapora nchi wakati akijiandaa kugombea ubunge,ni kuhadi wa wawekezaji na walarushwa uku akijidai kuwa ni mzalendo mwenye uchungu na nchi yake.Muulizeni makubaliano yake na zitto kabwe uku wakitegemea wazungu ili watawale Tanzania kwa madai ya kutoa sehemu ya nchi...
  14. O

    Vyuo vikuu vya tanzania kumetokea nini? Mbona kimya?

    Wana JF Naomba kujua kwanini katika miaka miwili ya 2010/2011 vyuo vikuu vyote Tanzania vimekuwa kimya,hakuna mijadala ya wanafunzi kudai haki zao,hivi wote kwa sasa wanapata mikopo? wanaridhika na mfumo wa utoaji mikopo ya HESLB? Je,mfumo wa kulazimisha mtu kwenda kusoma chuo asichopenda...
  15. O

    Saed Kubenea yuko wapi?

    Kubenea ni jemedari na jabali katka kutoa kisichoweza kuandikwa na magazeti mengine,soma comrade urudi tukomboe taifa
  16. O

    Prince Bagenda anavyoibomoa New Habari

    Naomba tumuulize Masburi Bagenda anafikiri kwa kutumia nini?
  17. O

    'MUUAJI' wa DARUSO awa Mkuu wa Wilaya...

    Nakumbuka siku zote alipokuwa rais wa DARUSO alikuwa hawezi kukutana na STEPHEN OWAWA uso kwa uso kwa maana owawa alikuwa akimwambia kuwa tangia UDSM kianzishwe haijawahi kutokea kupata rais kilaza na mpuuzi disign ya Kiswaga,nawakumbuka sana hawa jamaa Mchibya,Owawa,silinde,mtatiro na wengine
  18. O

    Kamati za bunge au kamati za kifisadi?

    Lete taarifa kamili,usilete hisia kutoka ulichosoma
  19. O

    Vita ya Gazeti la Mwananchi na Joshua Nassari- Limekosa hoja

    Nassari makosea na lazima afundishwe kwa kukosolewa,tusifikiri kwa upendeleo,Mwananchi limetimiza wajibu,tusepende kupambwa siku zote ata pale tunapoteleza
Back
Top Bottom