Search results

  1. E

    Minara ya mawasiliano katika eneo la shule

    Binafsi nimepitapita maeneo mbalimbali katika nchi hii nimekuta minara imejengwa katika maeneo ya shule,sasa nauliza shule hizo zinanufaika vipi na kodi hiyo ya minara maana shule ziko choka mbaya no body who care.
  2. E

    Polisi msimbazi aibu soma yanayotokea usiku

    Wako bize na taarifa za kiintelijensia kuhusu siasa za upinzani hayo mengine hayawahusu.
  3. E

    Alama(Landmark) walizoacha mawaziri wakuu wastaafu: Pinda tutamkumbuka kwa lipi?

    Kwa kutokuwa na maamuzi kama waziri mkuu na kwa kulia bungeni basi!
  4. E

    Siri ya kuvunja baraza la mawaziri yafichuka kumbe JK ndo alikuwa ang'olewe

    Binafsi nikishtukizwa kutaja majina ya marais walioongoza tanzania jk lazima nimsahau.
  5. E

    Zitto na pesa za sensa ya watu

    Wabunge wa ccm embu nanyie rudisheni hizo pesa hamtuonei huruma jaman. Nawasiwasi na kashillila na yeye atakuwa kajilipa.
  6. E

    Mwenyekiti wa CHADEMA Usa River auwawa kinyama

    Hili ni doa kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kwani vina mamlaka ya kulinda usalama wa inchi pamoja na watu wake pia mali zao.
  7. E

    Madiwani wawe na Elimu isiyopungua kidato cha nne

    Mdau umuhimu wa kuanzia na madiwani ni mkubwa sana kwani katika halmashauri baraza la madiwani ndio wanaoandaa bajeti za halmashauri pia katika ripoti za CAG zimeonesha pesa zinaliwa/ibwa sana katika ngazi za halmashauri kutokana na umbumbumbu wa madiwani waliowengi,binafsi napendekeza madiwani...
  8. E

    CHADEMA yapoteza mvuto majimboni..Tumewachoka

    Wewe siasa ni ndani na nje ya bunge bila cdm wewe ungejua nini juu ya wizi wa mali za umma unaoendelea?cdm keep it up endeleeni kutujuza.
  9. E

    Udhibiti wa matumizi mabaya ya fedha za umma,je nini kifanyike?

    Mjadala unaendele ITV watch out wana jf jinsi mrema anavyotema cheche.
  10. E

    TOP TEN ya wasiohitajika kwenye Baraza jipya la mawaziri...

    Binafsi nataka kuona sura mpya katika baraza la mawaziri.
  11. E

    Mawaziri wa JK: Ngeleja na apartment ya $350,000

    Daah! Haya magamba mi yameshanichosha yanapiga pesa za wanainchi bila huruma kila siku skendo,kama wao wako hivyo mi nataka kufahamishwa mali za boss wao.
  12. E

    Sasa ni Professor Wilbrod Slaa

    Naunga mkono hoja.
  13. E

    Uchambuzi: Lema ni hatari, arudishiwe Ubunge

    Watajuta kwanini wamempa rikizo maana kwangu hiyo ni rikizo,kufanya siasg si bungeni tu tena bungeni wanabanwa na kanuni lakin huku kitaa ni ful kujiachia naomba rikizo yake isiishe maana napata somo zaidi ya kuingia lecture.
  14. E

    Malisa aandika historia saut

    Congrats malisa waoneshe kuwa wanasaut hawajafanya kosa.
  15. E

    Mh. Tundu lissu anena kabla ya hukumu asubuhi hii

    Huyo jaji atende haki wala asiingiliwe katika maamuzi ili kumfurahisha mkubwa fulani kwani wanaweza kufikiri wanamkomoa kumbe wanamkomaza kisiasa na kumuongezea sifa pasi na sababu yoyote ya msingi.
  16. E

    MDAHALO WA IJUMAA: Waziri Mkuu akiachwa na wengine kubadilishwa itaridhisha?

    Kubadilisha baraza la mawazili bila kuchunguza na kubadilisha mfumo mzima wa uendeshaji wa serikali yetu ni mabadiliko ya kinadharia tu,theory za wizi bado ziko palepale.
  17. E

    Lissu kama Lema?

    Hakuna mahakama kuu kama ya wanainchi acha wahukumu nasi tutawahukumu days are numbered,kama wanatenda haki polisi kutoka mikoa yote hiyo wa nini maji ya washawasha ya nini!tundu lissu tunamjua ni mwiba kwa serikali acha wafanye wanavyotaka but truth will remain there.
  18. E

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    Mawaziri kama hawa washtakiwe kwa kesi ya uhujumu uchumi we waziri kijana mdogo miaka 40 umeingia serikalini juzi juzi tu uwe na nyumba yenye thaman kiasi hicho we ni mwizi tena jambazi kabisa.
  19. E

    Ni kwa nini rais wa serikali ya mapinduzi Zanzibar hapewi nafasi ya kukagua gwaride la muungano?

    We we we we lazima gwaride likaguliwe na rais wa jamhuri ya muungano ndo boss kwani ulishawahi kujiuliza kwa nini sherehe hizi hufanyika tanzania bara tu!
  20. E

    Wanaohama kwenye vyama wapokelewe kwa tahadhari

    Binafsi sina shaka na wanaohamia chadema toka ccm kwa wameshaisoma katiba ya chadema na kuielewa pia dira ya chama kama wamekurupuka kuhamia chadema basi siku zao ndani ya chama zinahesabika kwani nawajua viongozi wa chadema ni watu makini sana chini ya uongozi wa mtu makini Dr wa ukweli sio wa...
Back
Top Bottom