Search results

  1. C

    msaada

    kijana pleka simu yako kwa mtaalamu wa software ana kuflashia na itakuwa mpya kabisa huo ni ugonjwa wa kisoftware ok usiwe na mashaka ok mana hapo kinachotekea simu ndio inayofanya mvurugano huoooo
  2. C

    LINK YA KU DOWNLOAD software CoolNovo--UsWebproxy jamani

    kijana fafanunua umefanikiwa nini? sasa umepata software au umeweza kutumia internet bure nyoosha maneno acha taarabu hapa
  3. C

    msaada wa serial keys jamani!

    acha kupotea muda wako tafuta software ya window 7 activitor biashara inakwisha hapo
  4. C

    Airtel Wezi Wakubwa!!!

    kwanini mnasumbuka na kamtandao cha kijinga njooni zantel kwa wanamume
  5. C

    Msaada wa CV ya BALOZI SIMON UR MLAY anayewakilisha tanzania uko belgium

    mwenye nia ya dhati anisaidie kama anaijua
  6. C

    Msaada wa CV ya BALOZI SIMON UR MLAY anayewakilisha tanzania uko belgium

    ndugu wana jamvi kama kuna mtu anayejua cv ya balozi wa tanzania nchini belgium ndugu simon mlay aliyemaliza muda wake animwagie hapo jamvini
  7. C

    Iphone 3Gs inahitajika haraka

    Nitafute mimi ninayo bado nzuri sana pm ok
  8. C

    Batilda katuma barua kwa rais kutaka kuacha ubalozi na kuja kugombea ubunge Arusha

    JE NI NI KWELI BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA H E ambassador batlida ataachia nafasi ya aliyoteuliwa na mheshimiwa rais kikwete kuwa balozi na kuja kugombea ubunge? ni kweli rais kikwete alijua balozi batlida atashinda kesi yake ndio mana alimteua kuwa balozi hapo kenye karibu na arusha?
  9. C

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Kifo cha msanii steven kanumba kimesababishwa na radhi ya baba yake mzazi
Back
Top Bottom